Nimesikitika sana Elon Musk kuongoza tena kwa utajiri duniani

Acha akili za kimasikin wewe. Huyu jamaa aliwaambia shirika la misaada la kimataifa limletee mchanganuo ninamna gani wanaweza kumaliza njaa wakipewa hela mpaka leo kimya.
 
Huu uzi ungeandikwa na mwanamke mambo yangekuwa mengi ati tuna wivu na elon coz anatengeneza mdoli wa kubaka ambao hauwaombi wanaume hela . Anyway huyu jamaa ni mpuuzi huwezi kuwa tajiri unawaza kutengeneza vitu ambavyo viko against na nature, bureee
Nyie si mnaringa,acha awanyooshe tu
 
Hakuna kitu kibaya kama umaskini, yaani mtu apambane Hadi namba Moja duniani alafu aje kapuku mmoja kutoka Tanzania amuombee njaa kisa tu hajaisaidia Africa kusini
Unadhani Africa kusini inashida sana kuliko Tanzania
Acheni majungu wanaume tafuteni Hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…