KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Mimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina maduka ya vipodozi Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha na Mwanza.
Sasa haya mambo ya biashara kila mtu ana Mentor wake. Sasa mimi Mentor wangu ni mtu wa toto kichizi. Yeye hanywi pombe wala havuti sigara, anapenda sana mambo ya kanisani, si unajua tena, ukizaliwa Mbeya wewe ni mlokole, dhambi utajifunza baadae.
Basi kuna siku nikasema nimtembelee Mentor Jumapili tulivu, nikazama kwake Mikocheni, kwake mi ni mwenyeji najua kujifungulia geti. Hivyo basi sihitaji kugonga mlango wala kumsumbua mtu kwakuwa Mentor mwenyewe ndiye aliyenipa maelekezo na karipio kali kwamba nisimsumbue kwa kugonga gonga geti.
Basi Mzee, ile kutoma ndani, nikausukuma mlango wa kuingia ndani ya nyumba. Mlango huu moja kwa moja unakuingiza ndani ambapo unakutana naThe Giant Laser TV kutoka Ujerumani, Grundig product. Kulia na kushoto kuna makochi mazuri mno, hata sijui yametengenezwa wapi na kununuliwa wapi.
Nilipoingia tu, halaula, watu wamekurupuka uchi wa mnyama, wananiogopa na kunikimbia Kwa hofu. Hakukuwa na taulo jirani wala kisepe. Huyu anakimbia huku akitikisika mkia wa mbele. Huyu mwingine anakimbia akitikisa Makalio na hoteli ya watoto.
Nikasema isiwe shida. Nikarudi kwangu. Kesho yake nikampigia simu bibie, Kanitukana wee, kanidhalilisha wee, kaniambia mimi ni mbwa tu, anadili na mfuga mbwa. Hana cha kuongea na mimi.
Baada ya kukejeliwa na kudharauliwa na Zaituni wakati wa mchana, hatimaye Usiku ukaingia.
Mentor akanipigia simu, akanieleza maelezo ya utetezi, akasema yeye katongozwa na demu, na hajawahi kutongozwa, sasa amkataaje? Tukaongea mengi lakini mwisho wa siku nikawasamehe wote (ila moyoni nikasema huyu demu hanifai, na ninamuacha mazima)
Mimi na Mentor yakaisha, kumbuka Mentor ni my bro na nikamwambia kiroho safi endelea na kishtobe. Ila akaniambia alikuwa anaosha rungu tu hana future naye.
Basi biashara yangu imekuwa sasa, leo nimeenda Kwa mama ntilie kibanda umiza pembeni wanauza soda, juice, pombe kali za bei chee buku 2 tu.
Kuzungusha shingo At o Z, namuona bibie anagonga zigo zito, watoto wa mtaani wanaliita Katarama, ukionja tu unavua hadi boxer. Pombe kali yaitwa SUNGURA WA MABIBO. Ukiionja tu umeharibikiwa.
Nimemuonea huruma sana. Kesho nataka nimtendee wema. Kuonyesha msamaha kama nilivyo msamehe Mentor, naye nimsamehe kwa vitendo. Mentor kishaonja asali hamtaki tena asilani. Kafuta hadi namba ya bibie.
The End