Nimesikitika sana kumkuta EX Girlfriend wangu anakunywa Katarama

Nimesikitika sana kumkuta EX Girlfriend wangu anakunywa Katarama

Mentor wa tajiri ana geti la kugonga ?! Mentor wa tajiri hana door/gate bell ?! Mentor wa tajiri anaishi kama mbuzi zizini hana gate man ?! Ok, ngoja niendelee kusoma kisa hiki cha matajiri
Usiishi kwa kukariri. Watu wanaishi kama wanavyotaka, sio kama utakavyo wewe.
 
Mentor wa tajiri ana geti la kugonga ?! Mentor wa tajiri hana door/gate bell ?! Mentor wa tajiri anaishi kama mbuzi zizini hana gate man ?! Ok, ngoja niendelee kusoma kisa hiki cha matajiri
Juzi hapa nimeleta uzi wa mama Judith Mhina, tajiri aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani yote. Unajua yuko simple kiasi gani? Watu wengi wenye hela zao wanapenda ku lay low. Wanaishi maisha ya kawaida sana ila maisha bora na mazuri sana.
 
Kashfa ni kiashiria cha chuki, chuki ni ufukara. Hapa unamtukana mama yake Bill Lugano kakukosea nini?

Jifunze kuwa na heshima na adabu. Halafu kwangu wewe ni mtoto mdogo sana. Umezaliwa 92 unatukana baba zako. Usishangae kwanini maisha yako ni magumu sana
😂😂😂😂😂😂😂92 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nguvu za kua baba ulishaziacha kwenye tamaa za ujana wako😂😂😂😂😂😂
 
Nilichong'amua kwenye hili bandiko.

"ukizaliwa Mbeya wewe ni mlokole, dhambi utajifunza baadae.
Hamna kitu ka hicho, Nimezaliwa Mbeya(Meta Hospital),majanki kibao wanakula ganja na tungi mixer kamari

Iyunga,Kalobe,Nzovwe, Simike ,Meta hadi Mabatini majanki wa mitaa hiyo ni tungi kwa sana,

Nonde,Majengo,Ghana,Maendeleo,Sokomatola ni ganja na pombe,
Hizo, Isanga ,Ilemi,Soweto,Sai,Mama John, Airport na Dox yote mwendo uleule mpaka shamba ( Uyole)

Ukishuka bonde (Mbalizi) huko kunapikwa Komoni,Mchujo na Gongo za hatari.
 
Wenzio ni walokole nnasikia kila baada ya nyumba kuna kanisa, yaani makanisa ni mengi kuliko idadi ya waumini
 
Hey,
Nipo nje ya mada naomba nfundishe namna ya ku export parachichi uwe mentor wangu aisee. Pleaseee
Need to know more about export market. Please
 
Back
Top Bottom