wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 625
- 2,704
kweli aisee,inamaana hata wale ambao wana smock weed alafu wanalima hekari 2 kwa siku,hao nao vipi?Kitu kibaya ukipendacho, kipe jina zuri kee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli aisee,inamaana hata wale ambao wana smock weed alafu wanalima hekari 2 kwa siku,hao nao vipi?Kitu kibaya ukipendacho, kipe jina zuri kee
Wape jina zuri tu mazeekweli aisee,inamaana hata wale ambao wana smock weed alafu wanalima hekari 2 kwa siku,hao nao vipi?
Hah hah haaHili jamaa jitu jinga
Demu anakunywa kitu hatari hivyo , si bora tu aokoke?Mimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina maduka ya vipodozi Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha na Mwanza.
Sasa haya mambo ya biashara kila mtu ana Mentor wake. Sasa mimi Mentor wangu ni mtu wa toto kichizi. Yeye hanywi pombe wala havuti sigara, anapenda sana mambo ya kanisani, si unajua tena, ukizaliwa Mbeya wewe ni mlokole, dhambi utajifunza baadae.
Basi kuna siku nikasema nimtembelee Mentor jumapili tulivu, nikazama kwake Mikocheni, kwake mi ni mwenyeji najua kujifungulia geti. Hivyo basi sihitaji kugonga mlango wala kumsumbua mtu kwakuwa Mentor mwenyewe ndiye aliye nipa maelekezo na karipio kali kwamba nisimsumbue kwa kugonga gonga geti.
Basi Mzee, ile kutoma ndani, nikausukuma mlango wa kuingia ndani ya nyumba. Mlango huu moja kwa moja unakuingiza ndani ambapo unakutana naThe Giant Laser TV kutoka Ujerumani, Grundig product. Kulia na kushoto kuna makochi mazuri mno, hata sijui yametengenezwa wapi na kununuliwa wapi.
Nilipoingia tu, halaula, watu wamekurupuka uchi wa mnyama, wananiogopa na kunikimbia Kwa hofu. Hakukuwa na taulo jirani wala kisepe. Huyu anakimbia huku akitikisika mkia wa mbele. Huyu mwingine anakimbia akitikisa Makalio na hoteli ya watoto.
Nikasema isiwe shida. Nikarudi kwangu. Kesho yake nikampigia simu bibie, Kanitukana wee, kanidhalilisha wee, kaniambia mimi ni mbwa tu, anadili na mfuga mbwa. Hana cha kuongea na mimi.
Baada ya kukejeliwa na kudharauliwa na Zaituni wakati wa mchana, hatimaye Usiku ukaingia.
Mentor akanipigia simu, akanieleza maelezo ya utetezi, akasema yeye katongozwa na demu, na hajawahi kutongozwa, sasa amkataaje? Tukaongea mengi lakini mwisho wa siku nikawasamehe wote (ila moyoni nikasema huyu demu hanifai, na ninamuacha mazima)
Mimi na Mentor yakaisha, kumbuka Mentor ni my bro na nikamwambia kiroho safi endelea na kishtobe. Ila akaniambia alikuwa anaosha rungu tu hana future naye.
Basi biashara yangu imekuwa sasa, leo nimeenda Kwa mama ntilie kibanda umiza pembeni wanauza soda , juice, pombe kali ,za bei chee buku 2 tu.
Kuzungusha shingo At o Z, namuona bibie anagonga zigo zito, watoto wa mtaani wanaliita Katarama, ukionja tu unavua hadi boxer. Pombe kali yaitwa SUNGURA WA MABIBO. Ukiionja tu umeharibikiwa.
Nimemuonea huruma sana. Kesho nataka nimtendee wema. Kuonyesha msamaha kama nilivyo msamehe Mentor, naye nimsamehe kwa vitendo. Mentor kishaonja asali hamtaki tena asilan. Kafuta hadi namba ya bibie.
The End
Long time sana afisa wa Polisi hajasikika, jamaa alikuwa na maandiko yake very special for us wana JFDah umemtag Mentor nimemkumbuka jamaa yangu. Where are you Bro? Ulipatwa na nini sijawahi kuona posts zako Tena?
DuMimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina maduka ya vipodozi Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha na Mwanza.
Sasa haya mambo ya biashara kila mtu ana Mentor wake. Sasa mimi Mentor wangu ni mtu wa toto kichizi. Yeye hanywi pombe wala havuti sigara, anapenda sana mambo ya kanisani, si unajua tena, ukizaliwa Mbeya wewe ni mlokole, dhambi utajifunza baadae.
Basi kuna siku nikasema nimtembelee Mentor jumapili tulivu, nikazama kwake Mikocheni, kwake mi ni mwenyeji najua kujifungulia geti. Hivyo basi sihitaji kugonga mlango wala kumsumbua mtu kwakuwa Mentor mwenyewe ndiye aliye nipa maelekezo na karipio kali kwamba nisimsumbue kwa kugonga gonga geti.
Basi Mzee, ile kutoma ndani, nikausukuma mlango wa kuingia ndani ya nyumba. Mlango huu moja kwa moja unakuingiza ndani ambapo unakutana naThe Giant Laser TV kutoka Ujerumani, Grundig product. Kulia na kushoto kuna makochi mazuri mno, hata sijui yametengenezwa wapi na kununuliwa wapi.
Nilipoingia tu, halaula, watu wamekurupuka uchi wa mnyama, wananiogopa na kunikimbia Kwa hofu. Hakukuwa na taulo jirani wala kisepe. Huyu anakimbia huku akitikisika mkia wa mbele. Huyu mwingine anakimbia akitikisa Makalio na hoteli ya watoto.
Nikasema isiwe shida. Nikarudi kwangu. Kesho yake nikampigia simu bibie, Kanitukana wee, kanidhalilisha wee, kaniambia mimi ni mbwa tu, anadili na mfuga mbwa. Hana cha kuongea na mimi.
Baada ya kukejeliwa na kudharauliwa na Zaituni wakati wa mchana, hatimaye Usiku ukaingia.
Mentor akanipigia simu, akanieleza maelezo ya utetezi, akasema yeye katongozwa na demu, na hajawahi kutongozwa, sasa amkataaje? Tukaongea mengi lakini mwisho wa siku nikawasamehe wote (ila moyoni nikasema huyu demu hanifai, na ninamuacha mazima)
Mimi na Mentor yakaisha, kumbuka Mentor ni my bro na nikamwambia kiroho safi endelea na kishtobe. Ila akaniambia alikuwa anaosha rungu tu hana future naye.
Basi biashara yangu imekuwa sasa, leo nimeenda Kwa mama ntilie kibanda umiza pembeni wanauza soda , juice, pombe kali ,za bei chee buku 2 tu.
Kuzungusha shingo At o Z, namuona bibie anagonga zigo zito, watoto wa mtaani wanaliita Katarama, ukionja tu unavua hadi boxer. Pombe kali yaitwa SUNGURA WA MABIBO. Ukiionja tu umeharibikiwa.
Nimemuonea huruma sana. Kesho nataka nimtendee wema. Kuonyesha msamaha kama nilivyo msamehe Mentor, naye nimsamehe kwa vitendo. Mentor kishaonja asali hamtaki tena asilan. Kafuta hadi namba ya bibie.
The End
Mimi situmii hivyo vitu Komredi 😅🙌🏾daah mi sio mkuda, ila wanangu acheni nicheke tu Hohehahe mtumainiye mungu raraa reree
sisi ambao tumepigika ukitukuta tunapiga hivyo vinywaji tunasemaga inasaidia kupunguza unene
Sasa si ndo hivyo kawa katarama... maana yake mwendokasi, watu chap wanagusa wanarudi kuendelea kukata visungura, na wewe ukwilu ukikupanda unaenda nae chap kusuuza... yuko chap kama katarama 😂👍🏾Katarama si gari za kwenda Mwanza zile zinazokimbia kama Bombadie?
Mentor wa tajiri ana geti la kugonga ?! Mentor wa tajiri hana door/gate bell ?! Mentor wa tajiri anaishi kama mbuzi zizini hana gate man ?! Ok, ngoja niendelee kusoma kisa hiki cha matajiriMimi ni Mbena mzaliwa wa Mbeya, kwasasa ni mfanyabiashara mkubwa, nina export parachichi, nina mashamba ya miti ya nguzo, miti ya mpodo, miti ya pine, na miti ya mitiki, tick trees. Pia nina maduka ya vipodozi Dar, Mbeya, Tunduma, Arusha na Mwanza.
Sasa haya mambo ya biashara kila mtu ana Mentor wake. Sasa mimi Mentor wangu ni mtu wa toto kichizi. Yeye hanywi pombe wala havuti sigara, anapenda sana mambo ya kanisani, si unajua tena, ukizaliwa Mbeya wewe ni mlokole, dhambi utajifunza baadae.
Basi kuna siku nikasema nimtembelee Mentor jumapili tulivu, nikazama kwake Mikocheni, kwake mi ni mwenyeji najua kujifungulia geti. Hivyo basi sihitaji kugonga mlango wala kumsumbua mtu kwakuwa Mentor mwenyewe ndiye aliye nipa maelekezo na karipio kali kwamba nisimsumbue kwa kugonga gonga geti.
Basi Mzee, ile kutoma ndani, nikausukuma mlango wa kuingia ndani ya nyumba. Mlango huu moja kwa moja unakuingiza ndani ambapo unakutana naThe Giant Laser TV kutoka Ujerumani, Grundig product. Kulia na kushoto kuna makochi mazuri mno, hata sijui yametengenezwa wapi na kununuliwa wapi.
Nilipoingia tu, halaula, watu wamekurupuka uchi wa mnyama, wananiogopa na kunikimbia Kwa hofu. Hakukuwa na taulo jirani wala kisepe. Huyu anakimbia huku akitikisika mkia wa mbele. Huyu mwingine anakimbia akitikisa Makalio na hoteli ya watoto.
Nikasema isiwe shida. Nikarudi kwangu. Kesho yake nikampigia simu bibie, Kanitukana wee, kanidhalilisha wee, kaniambia mimi ni mbwa tu, anadili na mfuga mbwa. Hana cha kuongea na mimi.
Baada ya kukejeliwa na kudharauliwa na Zaituni wakati wa mchana, hatimaye Usiku ukaingia.
Mentor akanipigia simu, akanieleza maelezo ya utetezi, akasema yeye katongozwa na demu, na hajawahi kutongozwa, sasa amkataaje? Tukaongea mengi lakini mwisho wa siku nikawasamehe wote (ila moyoni nikasema huyu demu hanifai, na ninamuacha mazima)
Mimi na Mentor yakaisha, kumbuka Mentor ni my bro na nikamwambia kiroho safi endelea na kishtobe. Ila akaniambia alikuwa anaosha rungu tu hana future naye.
Basi biashara yangu imekuwa sasa, leo nimeenda Kwa mama ntilie kibanda umiza pembeni wanauza soda , juice, pombe kali ,za bei chee buku 2 tu.
Kuzungusha shingo At o Z, namuona bibie anagonga zigo zito, watoto wa mtaani wanaliita Katarama, ukionja tu unavua hadi boxer. Pombe kali yaitwa SUNGURA WA MABIBO. Ukiionja tu umeharibikiwa.
Nimemuonea huruma sana. Kesho nataka nimtendee wema. Kuonyesha msamaha kama nilivyo msamehe Mentor, naye nimsamehe kwa vitendo. Mentor kishaonja asali hamtaki tena asilan. Kafuta hadi namba ya bibie.
The End
Za kutosha yaani..!!Braah braah braaah
Hamna tajiri hapoMentor wa tajiri ana geti la kugonga ?! Mentor wa tajiri hana door/gate bell ?! Mentor wa tajiri anaishi kama mbuzi zizini hana gate man ?! Ok, ngoja niendelee kusoma kisa hiki cha matajiri