Nimesikitika sana kuona CHADEMA wanalishambulia Bunge kwa kuisimamia Serikali

Upo sawa kweli?
Bunge lipi nd(u)gi yupi wabunge wepi?
Acha kujifanya unajua
Chadema inakunyima usingizi au
 
Upinzani hawajui uwepo wao ni nini zaidi ya kufanya fitina na mifarakano tu.
Hawajui hata wanavhotaka ni nini zaidi ya kutaka kingia madarakani na kufisadi mali za umma.
 
Huyo mleta uzi ni zaidi ya chumia tumbo asiye na aibu
 
Kwa hiyo Spika akiikosoa serikali Chadema mnaita ni uhuni?
Alikuwa anaikosoa serikali akiwa wapi?

Michango ya wabunge iliisikia kuhusu agenda yake?

Wabunge wangapi waliiunga mkono hoja take
Hatujadili UCCM au Uchadema.
Jadili mifumo yakikatiba kimhimili.
 
Ndugai ni spika wa bunge na amemkosoa rais ambaye ni kiongozi wa serikali.

Chadema mmeona kafanya kitendo kibaya mmemtukana matusi ya nguoni.
Kama nyinyi bendera fuata upepo mlivyo mtukana mzee lowasa matusi ya nguoni kisa kahamia cdm.

Lkn mwenye chama chake alivyo ona umuhimu wa lowasa akamrudisha na nyinyi leo hii mnamramba viatu kwa njaa zenu
 
Kwa hiyo Ndugai akiikosoa serikali anakuwa sio Spika?

Wapi bunge limeisimamia serikali chadema ikalalamika?
 
Wapi bunge limeisimamia serikali chadema ikalalamika?
Majuzi Spika wa Bunge amei-question serikali kuhusu maswala ya mikopo na tozo.

Chadema wamemtukana sana yule mzee.
 
Hivi unajua kutofautisha kati ya bunge na Ndugai?
Ndugai siyo tu sehemu ya bunge bali pia ni spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, hivyo lolote atakalo lisema kuhusu serikali laweza kushika hatamu bungeni.
 
Ikitotanzila,
Kwa hiyo Chadema hamtaki bunge liisimamie serikali?

Mnajua kuwa wananchi wamewakataa sababu ya tabia zenu hizi za kwenda na upepo?
Tatizo ni hiyo u turn, imekuaje kuaje yaani, ?wakati CDM walipokuwa bungeni wakipinga ushetani wa ccm Ndungai aliwafukuza,na aliikingia kifua serikali
Hebu tumia akili ya hata ya kuku kutafakali hilo jambo
 
Chadema ilishabaki kuwa genge la wahuni tu wasiosimamia misingi yoyote, kazi yao ni kutukana na kufuata upepo wa kila linalojitokeza. Hopeless kabisa.
 
Ndugai ni spika wa bunge na amemkosoa rais ambaye ni kiongozi wa serikali.

Chadema mmeona kafanya kitendo kibaya mmemtukana matusi ya nguoni.

Bunge au kundi la majizi ya kura?
 
Chadema kimejionesha ni chama cha matukio na kipo kinaangalia upepo wa kula ruzuku.

Ruzuku CDM wamewaachia nyie chama cha wazee. Hiyo jamaa yenu mwenye ngoma Kagoma kumeza dawa saa hii anagombana na bibi ushungi tu. Majizi ya kura vuaneni nguo.
 
Ajabu sana. Leo ccm wanawashauri chadema waisimamie serikali. Duh kama Kuna mwanachadema atafanya hivyo sijui. Chadema wanatakiwa kukaa kimya wapumzike Ili migsmbo iruke na kukanyagana.

CDM kaeni kimya huo.ni ugonvi wa ndugu
 

Mkuu Anzisha chama uingie ikulu.
 
Mkuu umeongea ukweli mchungu, pamoja na kuwa Ndugai ni sifuri, ila bado ni sehem ya bunge.

Siasa ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…