Nimesikitika sana kuona CHADEMA wanalishambulia Bunge kwa kuisimamia Serikali

Chadema ya sasa hivi haiwezi kuibua hoja zaidi ya kudandia hoja zilizoibuliwa na wengine. Nilikuwa namwona mbowe dikteta kumbe alikuwa sahihi bila yeye hakuna chama.
 
Kwa hiyo Spika akiikosoa serikali Chadema mnaita ni uhuni?

Spika ni jizi la kura, na serikali ni ya majizi ya kura. Mnawaita CDM kwenye ugomvi wa majizi ya kura?
 

Conflicts of interest kwa nyumbu-like followers wa CHADEMA huzalisha blind spots lukuki. Hakuna namna ambayo wanaweza kuwa na objective reaction on anything done or said by Ndugai, Polepole, Bashiru na wengine kama hao. Muda wote wana pre-existing anger dhidi yao!
 
Tamaa umekata wewe, hapa ni hivi anayejidai mtetezi waleo Jana katuchomea nyumba Leo anakuja huku akijodai anahitaji kutujengwa nyumba, kweli kwa akili ya kawaida inawezekana, aliowachomea nyumba ndio wanaomrushia mawe.
 
Majuzi Spika wa Bunge amei-question serikali kuhusu maswala ya mikopo na tozo.

Chadema wamemtukana sana yule mzee.
Hakusimama kama spika wa bunge.alisimama kama ndungai mwenyewe kwa kutafuta kiki za kishamba. Chadema lazima wamzodoe kwasababu kwanza hayo madeni hayakuanza leo plil wabunge wa chadema wamei- raise sana hii issue ktk bunge na yeye akaufyata kwa kumuogopa jiwe. Sasahivi ameibuka kinafiki tu
 
Dah
Kwa hiyo kipimo cha utendaji wa seeikali kinatokana na endorsement ya CHADEMA?

Kweli CCM tumekwisha
 
Huo uongozi wa kustaarabu wa SAMIA ni UPI???
Watu wasiojulikana wamepotea vyombo vya habari vipo huru na kesi za kubambikizia za uhujumu uchumi zimepotea, maiti kuokotwa kwenye vipolo kunabakia katika kumbukumbu za magufuli na makundi yake, magufuli alikuwa anaendesha nchi kwa uongo anasema tunatumia pesa zetu za ndani kumbe alikuwa anakopa kwenye mabenki ya bishara kwa riba kubwa.
 
Kwani kuna bunge/wabunge au wajumbe waliochaguliwa na Rais alieiba kura na uchaguzi wote?

Kuanzia spika na bunge lote..wote ni matokeo ya kupora uchaguzi ivyo hawana uhalali wa kukosoa serikali ambayo nayo ni matokeo ya wizi huo.

Ata akili ndogo ya kuona mambo hauna!
 
Mungu akinusuru hiki chama hamjui mlitendalo.
 
Mkuu una uhakika bunge limeisimamia serikali? ndugai aliongea kauli hizo akiwa wapi? kuna mbunge yeyote yuko upande wa ndugai? kwanini ndugai kaomba radhi?
 
Leo wanapinga tozo; kesho tozo zikiondolewa watapinga kwa nguvu zote πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Tushawazoea.
Kama ilivyo kwa ccm, leo wanakubali tozo ila siku ikiondolewa watashangilia, kumbuka kuhusu chanjo, ilipigwa vita na maccm na leo inapigiwa debe na maccm
 
Majuzi Spika wa Bunge amei-question serikali kuhusu maswala ya mikopo na tozo.

Chadema wamemtukana sana yule mzee.
Je ccm hawajamtukana yule mzee? umeona video clip ya kiongozi wa ccm huko njombe?
 
Akili yako imekomaa na CDM unashindwa kutafakari ujinga ulioko humo chama tawala na yanayojiri.
Kila kukicha lazima wanapata mbinu wanazoambiwa na upinzani. Hamna kitu bunge lenyewe la mazuzu wakupewa.!!
 
Chadema ni wakombozi wako? Waambie ACT wakusaidie
 
Hongera kwa akili kubwa level za kidunia, Chadema wana akili za booster, akili zao hutegemea posho na mishahara ya ubunge. Wanamchukia Mtu na mawazo yake kama sehemu ya kisasi badala ya kulipa jema kisha badae kutumia jema kama mtaji kwenye kampeni siku zijazo
.
 
Huyo muhuni mmoja ndio bunge??hapo ndio kuisimamia serikali, chadema iko mioyoni mwa watu, wewe ukitaka kuliona hilo ruhusuni mikutano muone!!miaka 5 ya jpm ilipitia magumu sana, lakini nini kilitokea kwenye uchaguzi wa 2020?licha ya vikwazo vilivyokuwepo?
 
Ndugai ni spika wa bunge na amemkosoa rais ambaye ni kiongozi wa serikali.

Chadema mmeona kafanya kitendo kibaya mmemtukana matusi ya nguoni.
Aliyetukana Ni katibu muenezi wa CCM Mkoa wa njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…