Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Yaaani kujua softwares wanajiona wamemaliza
Kujua ku burn cd, na kuhamisha nyimbo ndio software wanazojua tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaani kujua softwares wanajiona wamemaliza
Umasikini ni jangaKwani ujui elimu ya Tanzania ndivyo ilivyo ukute ata yeye apendi iyo IT yenyewe watu wanajikuta wamesomea fani wasiyo ipenda
IT ya wapi hii?Kujua ku burn cd, na kuhamisha nyimbo ndio software wanazojua tu!!
Haha hah haha nchi ya mazuzu kabisa hiiKuna ile kasumba ya mazoea au uelewa wa kuuliza ili swali "eti hivi ofisi za taasisi fulani ziko wapi?" Wakati mtu ameshika smartphone...Google map ni ugonjwa wa wengi ...
No, ukweli lazima usemweMzee unakiuka professional ethics ficha siri
CCM ni Chanzo Cha MatatizoElimu za CCM ni mauzauza matupu
Wewe ni mwanaume, yeye ni mwanamke.Nikapigwa na butwaa aliponiambia hajui kutumia Google Map. Yaani na degree yake ya IT hajui kutumia app hiyo muhimu? Nikajiuliza sasa nikimchukua huyu, atakuwa amekuja kujifunza kazi au kufanya kazi?
ataKwani ujui elimu ya Tanzania ndivyo ilivyo ukute ata yeye apendi iyo IT yenyewe watu wanajikuta wamesomea fani wasiyo ipenda
Business is people it is there money which can make you successful or fail in businessNikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani....
Huyo mteja wako, Labda ndo yule Roma aliyemuimba "Na inaniuma kuona kijana msomi wa Degree tatu, mnashindwa kumpa ajira sasa anauza nyanya karatu..."Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani...
Jinsi alivyoandika ushamfahamu ni nani anaeongelewa?Tunza siri za wateja wako.
kuwa na kifua utajua mengi.
Naye nahisi ni kilaza, anajishitukia na kujihami mapemaJinsi alivyoandika ushamfahamu ni nani anaeongelewa?
Sawa mkuuCCM ni Chanzo Cha Matatizo
Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani.
Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau kikombe cha kahawa.
Mdada akaja ofisini, nikamwambia tea girl amwandalie kahawa mgeni. Baada ya muda mfupi akaletewa kahawa na story zikaendelea.
Tukawa tunaongea mengi, na akaniambia anauhitaji wa kazi kwani kasoma IT.
Basi kwenye story akanijulisha kuwa dawa anazituma Karatu, na ameagizwa azitume kwa basi la Dar Express. Akasema yeye hajui ofisi zilipo, mimi nikamwambia naijua ofisi yao ya Kisutu.
Akaniuliza kama Shekilango wana ofisi, nikamwambia sina uhakika, ila kwanini usicheki kwenye Google Map?
Nikapigwa na butwaa aliponiambia hajui kutumia Google Map. Yaani na degree yake ya IT hajui kutumia app hiyo muhimu? Nikajiuliza sasa nikimchukua huyu, atakuwa amekuja kujifunza kazi au kufanya kazi?
Anasema amesoma visual basic, java, na C++, kasoma networking na troubleshooting ahh, hamu ya kuendelea kumsikiliza ikakata kabisa.
Mzigo wake ulipokuwa tayari, nikamuaga na.kumuongezea 10,000 ya nauli.
Alisema tu ni Msomi wa degree tatu, lakini pia ni anauza nyanya Karatu.Kwani roma alisema yule kijana anaitwa nani?