Nimesikitika sana kuona muhitimu wa degree ya TEHAMA (ICT) hajui kutumia Google Map

Kuna ile kasumba ya mazoea au uelewa wa kuuliza ili swali "eti hivi ofisi za taasisi fulani ziko wapi?" Wakati mtu ameshika smartphone...Google map ni ugonjwa wa wengi ...
Haha hah haha nchi ya mazuzu kabisa hii
 
Alihitimu na Knowledge badala ya Skills
 
Nikapigwa na butwaa aliponiambia hajui kutumia Google Map. Yaani na degree yake ya IT hajui kutumia app hiyo muhimu? Nikajiuliza sasa nikimchukua huyu, atakuwa amekuja kujifunza kazi au kufanya kazi?
Wewe ni mwanaume, yeye ni mwanamke.

Utakachokuja kugundua ni kwamba katika usomaji ramani, jinsia hizi mbili zina tofauti kubwa tu.

Japo ni exageration je umewahi sikia swali kwamba 'Why women cant read map, and men cant distinguish color'?

Kimsingi kuweza ama kutoweza kutumia ramani inahitaji ka passion pia. Na sio kila mtu anayo.

Sijamaanisha kwamba hawezi hata akijifunza. La. Ila kama ambavyo wewe hujachukua mda wako kujifunza na kuappreciate tofauti kati ya rangi za red, cherry, peach, na pink ndivyo vivyo hivyo kwake yeye na google map.
 
Kwani ujui elimu ya Tanzania ndivyo ilivyo ukute ata yeye apendi iyo IT yenyewe watu wanajikuta wamesomea fani wasiyo ipenda
ata
apendi
iyo
Wewe ni walewale wa hiyo elimu ya Tanzania.
 
Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani....
Business is people it is there money which can make you successful or fail in business
 
Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani...
Huyo mteja wako, Labda ndo yule Roma aliyemuimba "Na inaniuma kuona kijana msomi wa Degree tatu, mnashindwa kumpa ajira sasa anauza nyanya karatu..."
 
Wewe jomba acha kujimwambafy. Kama kitu ni slow movig huweki hata moja kwenye display? Pia umeonyesha una umwinyi balaa iliyoambatana na dharau.

Ulishindwa nini kuandaa chai mwenyewe hadi umsumbue Tea girl? Hiyo 10k alikuomba au uliona masifa tu umpe? Pia huna siri.
 

Hakuna la ajabu, that is just an App, ukitaka kujua haimfanyi mtu awe mjinga, u can learn it for 5 ms.
 
Wew ndo mshamba...kutumia Google map had kuzitengeneza ni GIS...waulize watu waliosoma Geoinformatics, Geomatics etc...

Mtu wa IT kujua hivyo ni mpaka awe na passion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…