Nimesikitika sana kuona Mwarabu ana "score both halves" Tena kwenye uwanja wa Nyumbani (mkapa stadium)

Kutoboa ni ngumu sana aisee.

Kumpiga 2 kavu kule kwao sio jambo dogo na sidhani kama Yanga ataweza.
Mbila bila changamoto
Ila 2-1 inawezekana
Ngoja tuone
Vyovyote itakavyokua ,Yanga wamewakilisha vema nchi,pongezi kwao
Hatuwadai kitu kiukweli
 
Malumo kamfunga huyu USM alger
Malumo kamtoa Pyramids
Unaifananisha na Horoya
Hata mpira wao ni mbingu na ardhi
 
Akishinda 2-1 wanakuja sare maana kila timu itakua ina idadi sawa ya magoli ya ugenini
Swali ni kua: wataweza kufunga hizo 2-1
Acha tungoje
 
Dah jmaa we sio wale mashabiki wa mhemko wanaotuambia nyie kawaida yenu mnaenda kushnda ugenini na kutuhakikishia mechi hii bdo
 
Ile ya pili sio fainali mkuu Ile ya pili ni kwenda kutafuta mshindi wa pili.Fainali imemalizika Kwa mkapa hata kocha wa waarabu kaonyesha ishara kwamba wao washamaliza.
Jamaa ukiwacheki tu unaona kabisa wapo serious
 
Ile ya pili sio fainali mkuu Ile ya pili ni kwenda kutafuta mshindi wa pili.Fainali imemalizika Kwa mkapa hata kocha wa waarabu kaonyesha ishara kwamba wao washamaliza.
[emoji16][emoji16][emoji16] hawa uto Leo watajiua Leo
 
Kwamba mtampiga Mwarabu goli 2-0/3-1/4-2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…