Nimesikitika sana kuona Mwarabu ana "score both halves" Tena kwenye uwanja wa Nyumbani (mkapa stadium)

Hivi africa mashariki na kati kuna Club ina benchi la ufundi kali kama Simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanafusha visomo mpaka uwanjani
Sisi utopolo tunaanzaje kuwashinda?
Nimeshangaa sana Hawa waarabu wametokaje.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umevurugwaaaaa mpakaa basi, hurumaaa kwa kweliiii.

Sasa hao waarabu huko kwao wana uchawi na majini juu utatokea wapiiii weyeeee???
 
Hakuna uhusiano wa kukandwa na mvua,MMEKANDWA TU MSIJITETEE
 
Goli la ugenini liko pale pale,rejea mechi ya wydad na masandwana...morocco ilikuwa 0-0,south africa ikawa 2-2.mamelodi nje.
 
Haroya ata kitakwimu kamzid mbal marumo
 
Mpaka mvua inalaumiwa kama vile waarabu walicheza juani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Goli la ugenini liko pale pale,rejea mechi ya wydad na masandwana...morocco ilikuwa 0-0,south africa ikawa 2-2.mamelodi nje.
Huwa nadhani kuna watu wanajuwa mpira humu na kanuni zake kumbe wamejaa mambumbumbu mengi tu.

Fainali haina goli la ugenini.
 
Unadhani hawa ni vilaza wenzio akina Marumo.

Kwani hiyo mvua ilikuwa inawanyeshea Yanga pekee na USM walikuwa wakavu? Hameni Sengerema nyie.

Mlisema hamtaki msaada wa jirani, sasa mbona mnaulalamikia ulipohitajika upande wa pili?
 
Unadhani Simba wangetoa msaada gani???
 
Huwa nashangaa sana mnavyomu overrate sureboy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…