Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mimeona nigga nimeshituka. Kumbe sisi watu weusi ndio timeasisi uchafuzi wa miji huko ulaya kisha utaratibu ukaigwa Africa kwa mwendokasi.Tunakosea Sana hawa Kuwaita machinga tuwaite Tu wafanya biashara wenye mtaji mdogo.
Machinga ni neno lililotokana na neno la kiingereza hasa kutoka marekani wakiitwa matching nigga ( machinga)
Maana yake ni wafanya biashara wanaotembeza
Sasa anayejenga kibanda siyo machinga maana hatembezi uisipokuwa wateja wanamkuta hapo
Hawa ni wafanya biashara wadogo
Mlojibatiza wanyonge si ni nyiye tena mnachekelea mkiitwa wanyonge.Usifikili kila mtu wakupigwa tu kama wew mnyonge
Na ukweli ni kwamba sio wote ni wafanya biashara wadogo.Hawa ni wafanya biashara wadogo
Msitie aibu hebu muwe mnatembea na miji mikubwa kwenye nchi zingine muone kama wanaujinga wa kuacha machinga wafanye biashara hovyohovyo. Dar ni ya kuzidiwa na Kigali kweli? Hebu kuweni serious tupunguze ushamba,kuwapanga watu sio kuwafukuzaInasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Achana na hizi blah blah tii mamlaka.Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Hiyo haimaanishi alikuwa sahihi na matokeo ya kufanya mambo kwa ujanja ujanja ndio haya sasa.Sasa huo ndio unafki wenyew enz za magu hamna mtu alie sema hayo matajiri wa jf bana hahahah
Tusikubali kila ajira ili mradi ni ajira, ingekuwa hivyo tungeruhusu hata uuzaji wa madawa ya kulevya sababu kuna watu wanapata ajira (ila impact yake ipoje)Shida ni kwamba.watu hawana ajira wafanyaje sasa
Wewe ni mtu mjinga hufai kuwa humu JF maana unatete upuuzi,Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Ndiyo maana nasema hawa ni wafanya biashara wadogo , wafanya biashara wakubwa wananufaika Sana na hawa jamaa na hii ni Kwa sababu ya utitili wa Kodi ambazo hazina kichwa wala mguuNa ukweli ni kwamba sio wote ni wafanya biashara wadogo.
Kuna wenye mitaji mikubwa ila kukwepa kodi anaajiri vijana hata kumi anawatengenezea meza anawapa mzigo wanamuuzia jioni wanapeleka hesabu.
Serikali ya magu ndo iliwalea hawa na wangeendelea kuachwa serikali ingeendelea kukosa mapato kwa wingi sana.
We fikiria mtu anaagiza mzigo china anapanga kwenye meza yake aliyoiweka juu ya mtaro au njia ya wenda kwa miguu halipi kodi yoyote.
Nani asiyependa unafuu?
Hawa watu wangeendelea kuachwa baada ya miaka kadhaa watu wangekuwa hawakodi tena fremu za biashara.
Kama anataka ndizi atazifuata tu huko sokoni, mbona zamani ilikuwa ndio hivyoSawa naomba tumuongelee mama ambae anauza ndizi umpeleke mbali namji atauza kwel?
Hivi kila mwenye kuuza akiamua aende kuuza kwenye vibaraza vya wateja itawezekana?Sasa kua na mji msafi wakat watu wanalala njaa huo ni ushamba.ila wew unaonekana mbinafsi sana acha ubinafsi hautakufkisha popote
Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Umekosea sana, Wamachinga ni ndugu zetu ni jirani zetu ni wanafamilia, Hakuna mtu anayefurahia, isipokuwa tunataka taratibu zifuatwe, watengewe maeneo, haifuraishi kuona vibanda kila mahali, vitumbua vinapikwa kila mahali, vituoni mwa daladala, haifai.Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Ondoa biashara mahali pasporuhusiwa kufanya biashara.acha kujichelewesha utapata hasara.hakikisha na hicho kibanda umeshakibomoa
Warudi vijijini kulima bana, mwanaume mzima kutwa kuuza maji wakati ana msuli wa kulima mpunga anakuwa hajitendei haki yeye mwenyewe pamoja na serikali, tena ningekuwa mimi ningewaambia waripoti kwa wenyeviti wa vitongoji walikotoka na wapewe majembe ,kwa kipindi hiki tayari ndio wakati muafaka wa maandalizi ya kilimo. Maisha sio lazima uwe Machinga au uishi mijini, Tanzania tuna ardhi tele, njoo tulime kilimo cha mihogo,mbaazi,mbogamboga badala ya kutwa kukimbizana na daladala na viboksi vya maji kichwaniInasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.
Viongozi acheni ulimbukeni hata Ulaya machinga wapo. Pia katika hao machinga wengine ni wasomi wakubwa ila hawana ajira.
Ujumbe wangu kwa wewe mnafki wa JamiiForums, acha kufurahia shida za wamachinga kwani hawakupenda kuwa wamachinga ila ni mifumo isiyofaa ya hii nchi.
Kinacho nishangaza JF kila mtu msomi, tajiri, ana gari, anaishi mjini, mjuaji, meneja, ana nyumba nzuri. Hahahahahahahaha JF bwana
KIPUNGA
Bila kuuma maneno tatizo ni mwendazake, angalia alipokufa watu mpaka walichinja ng'ombe, mwangalie Saambaya alipovuna alichopanda jinsi watu walivyofurahi. Kifupi ni kuwa kama ulijihusisha na yule dubwana kwa namna yeyote lazima yakukute tu. Anyway machinga siyo kosa lao kwani wengi ufahamu wao mdgo hivyo binafsi nawaonea huruma lakini jiji lazima lile safi na lionekane likiwa safi.Inasikitisha sana kuona Mtanzania mwenzio anabaguliwa kwamba yeye hafai kukaa mjini akakae huko mbali ajifiche na mjini ni kwa watu wenye uwezo fulani halafu wewe unafurahia eti sababu haikuhusu, imeniuma sana.