Nimesikitika sana. Sisi Africa katika soko la China hata kwenye 3 bora hatumo

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani.

Ndo maana jamaa wanatudharau tu wanaamua kutengeneza takataka ndo wanaleta huku. Ila vitu vya maana wanapeleka kwa wazungu.

Nlitamani sana tuanze fanya biashara na South Afrika. Maana nao SA wapo katika hali ambayo si nzuri sana. Mataifa mengi yanategemea soko la Mabeberu. Sisi huku mitetea si kipaumbele sana.

Screenshot_2025-04-11-21-38-41-356_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-04-11-21-38-26-682_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2025-04-11-21-38-56-891_com.android.chrome.jpg
 
Anza kushangaa kwanza hapa

Singapore GDP 561 Bln wakati Jumuiya ya Mashariki nzima yenye nchi 8 ina GDP ukijumlisha wote inafika 300 Bln

Mind you Singapore ina ukuwa wa 735km² wakati EAC ina zaidi ya 5Mln Km² na ina population ya zaidi ya watu 300 mln wakati Singapore 6Mln tu

Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi.
 
Sisi tunanunua Uchafu hatuwezi kuwa kwenye Soko lolote duniani, Hatuan uwezo wa kununua vitu vya maana. Refurbished stuff ndiyo size yetu.
 
Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani.

Ndo maana jamaa wanatudharau tu wanaamua kutengeneza takataka ndo wanaleta huku. Ila vitu vya maana wanapeleka kwa wazungu.

Nlitamani sana tuanze fanya biashara na South Afrika. Maana nao SA wapo katika hali ambayo si nzuri sana. Mataifa mengi yanategemea soko la Mabeberu. Sisi huku mitetea si kipaumbele sana.

View attachment 3300691View attachment 3300693View attachment 3300695

Afrika hatuwezi kununua bidhaa kubwa za china zenye pesa nyingi kama meli za kivita, ndege, vifaa vya kijeshi, magsri ya umeme, tunaxhonunua Sana ni yeboyebo, maplastiki, simu za texno, infinix,
Afrika ni maskini Sana, magari asilimia 90,yanayotembea hapa mjini ni mikweche kutoka japan
 
Anza kushangaa kwanza hapa

Singapore GDP 561 Bln wakati Jumuiya ya Mashariki nzima yenye nchi 8 ina GDP ukijumlisha wote inafika 300 Bln

Mind you Singapore ina ukuwa wa 735km² wakati EAC ina zaidi ya 5Mln Km² na ina population ya zaidi ya watu 300 mln wakati Singapore 6Mln tu

Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi.
Anza kushangaa kwanza Abdul mjuu wa kizmkazi alitoa wapi helae za kuwahonga kina Wenje na kutaka kumhonga Lissu!!!!!!??? Halafu ujiulize ukishapata jibu la swali la kwanza je Singida Black stars ni mali ya nani na wale wachezaji wotee wa kimataifa na benchi la ufundi nani anawalipa? UZkIMALIZA KUTAFAKARU JIULIZE HAZINA YETU PALE BOT IKO SALAMA!!!! Halafu rejea hii kauli ya kiongozi wa nchi "kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake lakini mnakula sana" NAMALIZIA KWA KUSEMA WAZIRI WA TAMISEMI NI MKWE WA TAIFA NA NDO ALISIMIMIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA CCM IKASHINDA 99%. Nikutakie asbh njema Samia oyeeee MITANO TENA
 
Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani.

Ndo maana jamaa wanatudharau tu wanaamua kutengeneza takataka ndo wanaleta huku. Ila vitu vya maana wanapeleka kwa wazungu.

Nlitamani sana tuanze fanya biashara na South Afrika. Maana nao SA wapo katika hali ambayo si nzuri sana. Mataifa mengi yanategemea soko la Mabeberu. Sisi huku mitetea si kipaumbele sana.

View attachment 3300691View attachment 3300693View attachment 3300695
Kuna siku nilikuwa nawaelezea watu humu hawakuelewa. Bro mi nilishawah kukutana na mmarekan mmoja kiwandan mtu mmoja ana order ya ya pea milion 30. Mimi zangu elfu 40. Na huyo ni mmoja. China kwetu inafanya umachinga kazi halis anapiga na mmarekan na watu wa ulaya. Kitu kinachomfanya mchina atulegezee ni kuwa anaiba malighafi africa kupita maelezo. Na sisi kwao wanatuona mandez flan
 
Afrika hatuwezi kununua bidhaa kubwa za china zenye pesa nyingi kama meli za kivita, ndege, vifaa vya kijeshi, magsri ya umeme, tunaxhonunua Sana ni yeboyebo, maplastiki, simu za texno, infinix,
Afrika ni maskini Sana, magari asilimia 90,yanayotembea hapa mjini ni mikweche kutoka japan
Nimeumia sana kwa hii comment yako lakini ndo ukweli wenyewe ,yaani sisi bado maskini sana.
 
Back
Top Bottom