lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,748
- 3,460
Ahahhahhhhhhaa shamba heka 20 na ana watoto alishatendwa anachukia wanaume akupe tu na kobilo hukumzawadia weeeee acha kutuleta
Hahaha.........utafanya niache wosia nikifa wanizike na vumbi la KongoNdo ubakishe nguvu hizo,usije kukabidhiwa wanawali 72 Babu ukafeli🤓🤓🤓🤓🤓
Unazingua ujue..Raha ya mshangazi uwe na ukimwi 😁
Unatumia pic yangu kwa makosa soon nakufungulia kesi
Nimeacha mkuuUnatumia pic yangu kwa makosa soon nakufungulia kesi
Mishangazi na ukimwi ni chips na tomatoUnazingua ujue..
Unazingua sana sana.
Nina mshangazi una mpango wa kunitafutia kiwanja kigamboni
Kwanini unataja kitimoto mbele yangu ..Mishangazi na ukimwi ni chips na tomato