Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,701
Lakini huyu mkuu hakutumia kiuno ni haya mambo yake ya kuandika andika tuNikisoma story za hivi ndiyo napata nguvu za kuungana na ndugu yangu Nikifa MkeWangu Asiolewe
Haiwezekani nichume mali zote hizi Kwa shida kisha waje Vijana barobaro wapewe na Bibi yenu kisa wanajua kutumia kiuno 🙌
Mtafanya niweke tego kabla sijafa 😎
mf wa andiko hili kabla ya september 7 Nrne awe ameachiliwa bila masharti ya aina yoyote au lile andiko lake kuwa Nrne asiongee chochote wala sisi tusiende tena huko kwenye kisutu tuwaachie wao kisutu wafanye wanavyotaka juu yake.
Na akaletewa mapazia ya laki sita kurekebisha kwa ajili ya apatment za marehemu Dory kigamboni na mbweni haya ndio sababu ya yeye kupewa shamba la hekari 20