Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

Nikisoma story za hivi ndiyo napata nguvu za kuungana na ndugu yangu Nikifa MkeWangu Asiolewe

Haiwezekani nichume mali zote hizi Kwa shida kisha waje Vijana barobaro wapewe na Bibi yenu kisa wanajua kutumia kiuno 🙌

Mtafanya niweke tego kabla sijafa 😎

😂😂😂
Babu huu mchezo hauhitaji Hasira.
Tena unakuta Mjane wa Nikifa MkeWangu Asiolewe anavyojibebisha na kujiliza kimadeko mwenyewe utadhani wewe ni Babaake wakati amekuzidi umri
 
Back
Top Bottom