Nimesikitika; Yule Shangazi aliyenihonga Shamba la heka 20 amefariki leo asubuhi.

Ahahhahhhhhhaa shamba heka 20 na ana watoto alishatendwa anachukia wanaume akupe tu na kobilo hukumzawadia weeeee acha kutuleta
 
Ndo ubakishe nguvu hizo,usije kukabidhiwa wanawali 72 Babu ukafeli🤓🤓🤓🤓🤓
Hahaha.........utafanya niache wosia nikifa wanizike na vumbi la Kongo

Nitakuwa na kazi nalo kule 😜
 
Mtumeee, uzi mrefu ntaeza maliza usoma nkaukimbuka kweli,?

Karibu chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…