Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

Pasco,

Kwa mtazamo wako, nini maana ya "fedha za umma".
Mkuu Mchambuzi, with due respect, tafsiri rasmi ya fedha za umma ni "public monies!"

Suala la umiliki wa account escrow ni kitu kimoja, na fedha zilizomo humo ndani ni jambo jingine!.
Namna ya kujua kama ni fedha za umma au sio za umma ni the time hizo fedha zinapochange hands toka umma kuwa private money?!.

Account ya escrow ni account ya ubia kati ya Tanesco na IPTL, hivyo wakati wote wa uhifadhi wa fedha hizo ndani ya account hiyo ya escrow, zilikuwa joint finances, na ile siku Tanesco aliporidhia fedha zilipwe IPTL, then fedha zile zili change hands from public money to private money!. Nahisi CAG, TRA na PCCB hawakuangalia mkataba wa IPTL, kodi zote zilipaswa kulipwa na Tanesco na sio IPTL!, kama Tanesco, ilitumbukiza hadi kodi humo kwenye escrow, then ni tatizo la Tanesco!, na kwa vile Tanesco ilikuwa na bado inadaiwa deni kubwa na IPTL, then, hiyo kodi iliyo achwa na Tanesco kwenye escrow, itakuwa dected kwenye next payments!. Kodi inaweza kulipwa wakati wowote!.

Mtu mwingine aliyepaswa kulipa kodi ni Singa singa wa PAP kwenye transfer kutoka Mechmar kwenda Pieper Link na kutoka Pieper Link kwenda PAP na hizi hazihusiani kabisa na pesa za Escrow!.

Pasco
 
Kuna haja ya kuja na pendekezo la wastani (kejeli ya wazi) kuhusu hii kitu Escrow.
 
Kuna haja ya kuja na pendekezo la wastani ( kejeli ya wazi) kuhusu hili dubwana Escrow.
 
Bila shaka hukusikiliza bali umeambiwa yalio zungumzwa,kuna pesa ya kodi na kuna viongozi wamegaiwa kama njungu sasa kama bado unaona hakuna tatizo basi utakua umefaidika na hizo pesa au we ni chizi wa kupindukia
 
PASCO AMEAMUA KWA UTASHI NA HIARI YAKE KUWA"AN ENEMY OF THE PEOPLE" KAJIPAMBANUA HIVYO KWA NI WAO DHIDI YA SISI> pesa isiyo ya umma inatumia pesa ya umma,taasisi za umma(tanesco,bot,cag,pccb,bunge,ikulu,wizara ya nishti na...)na muda wa umma kujitetea kuwa sio pesa ya umma >WHAT A SHAME!!
 
Pasco!!
Sitashangaa msimamo wako kwani hata ndani ya bunge hakuna msimamo mmoja wa fedha ni za umma au la. Kamati ya PAC ina msimamo wake, CAG report ina msimamo wake, TAKUKURU ina msimamo wake, mawaziri na wabunge wana misimamo yao hivyo si ajabu na wewe kuwa na msimamo wako. Hatulazimiki kukubali msimamo wako.
Ila tukubaliane ndugu yangu, madhara ya yote haya yatatugharimu kwa kiasi kikubwa kwa namna mbalimbali kwa kipindi kirefu. Tumeona ni jinsi gani sheria zinavyoweza kupindishwa kwa matakwa fulani. Tumeona ni jinsi gani baadhi ya watu wana nguvu na wako juu ya sheria. Hii haitaisha hivi hivi. Watazaliwa wengi ambao hawataheshimu sheria kwakua nafasi za kufanya zinawekewa msingi sasa. Matokeo yake haya ni machafuko.
Anyway, ngoja niendelee kufuatilia mjadala. Nitapata nafasi siku nyingine, na kwakua wewe ni mwelewa, naamini tutawekana sawa kwa maslahi mapana ya taifa letu.
 
Hee! huyu bwana kalipwa kiasi gani?
... jana alisema taarifa haitasomwa ikasomwa, miaka ya 2007/10 nikiwa huku nnje ya Tanzania nilizependa sana 'articles' zako, kumbe sikukuelewa ulivyo ....uhitaji ni tatizo na shida kubwa ktk utu wa mtu…..
 
Wanabodi,

Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.

Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.

Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.

Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.

Pasco.

Bahasha ya kaki kwa mtu mwenye njaa ni mbaya sana, PASCO nimekudharau SANA.
 
Msikilize mtu wa shoka David Kafulia A.K.A Tumburi A.K.A Sisimizi
 
Mkuu Pasco heshima kwako.
Mie naungana na wewe juu ya hili.
I think there are some thing hiden here.
Kuna aja ya kuunda tume nyingine ili kuichunguza tume iliyopewa kazi ya
kulichunguza hili jambo.
Isije ikawa tunaicheza ngoma inayopigwa kizani na tusiyemjua.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.

Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.

Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.

Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.

Pasco.

Hapana si ukweli, account ya Escrow ilikuwa na billion 182 tu kwa mujibu wa ripoti ya CAG.
 
Ulipata mgao kiasi gani maana unaangaika kama kuku anayetaka kutaga
Wanabodi,

Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.

Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.

Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.

Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.

Pasco.
 
Pasco kwanini usiseme CAG ndio wametoa ripoti? kwani PAC wametoa wapi ripoti yao?? Najua billioni 300 ziko mtaani zinanguvu ya kumnunua mtu yeyote mwenye tamaa fisi.
 
kuna member mmoja hapa jf aliwahi kugusia kwamba huyu ndg Pasco ni mtu anayesoma upepo wa kusiasa kwa sababu anazo zijua yeye ali apate muelekeo.kazi ipo nchi hii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom