Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #41
Mkuu Committed, umesema kweli kabisa!, Pasco wa JF ni Mwana CCM damu ila anajifanya hana chama!.pasco ni ccm, chama kwanza wananchi badae; pasco umenisikitisha sana;
Hizi ni baadhi ya Threads zangu kutetea chama changu CCM na kumfagilia Mwenyekiti wangu wa chama!.
Mapungufu ya JK: Ni Rais Dhaifu! -
CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!
Yametimia!, CCM Imechokwa!, Chadema Njia Nyeupe 2015 ...
Mtazamo: Kanda ya kaskazini, ccm imechokwa mpaka basi!
Katiba: Nashauri Bunge Batili Lililopo Livunjwe!, Liundwe Bunge Halali la Katiba!.
Mchakato Huu wa Katiba, ni Umasikini Wetu!, Tujikubali
Ikithibitika ZNZ Haikushirikishwa, P'se JK Simamisha Huu Mchakato Batili!.
Chonde Chonde Rais JK: Msimamo wa Serikali ...
Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha
Kama Kweli Nia ya Dhati ni Kuimarisha Muungano, Then
Kidumu cha Mapinduzi!.
CCM Oye!.
Pasco