Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.
Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.
Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.
Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.
Pasco.
Mkuu Nyabhingi, journalism naifanya just for the love of it!, and not for the gain!, I don't depend on it for survival, ndio manna mimi ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea!, silipwi senti tano!.pasco is a money hungry journalist.
Elimu ni bora kuliko chochote! Hivi kweli ukiwa na deni kubwa inafanya pesa chache zisiwe za umma! Ninawasikiliza watetezi ninawashangaa.
Mkuu Cleaos, tena ile ni kitu mbaya sana, jamaa zangu wametulia tuu bila kujua hii dilly dallying ni delaying tactcs tuu za kuwasogezea kwenye kona, hadi ule muda unaitwa "the most opportune time" ufike, karibu na October, wakati wenzao wako kwenye kampeni, itafumuliwa!, na the consequences will not good!. Muda huo ukifika, utanikumbuka!.Pasco Tumeishakuzoea....hivi ile Bonifaidi giniuni ya Lwakatare bado msimamo wako ule ule?
Na kama si za umma, CAG siku hizi inakagua fedha za wawekezaji?? Mimi nimesikitishwa na wewe zaidi kuliko Mhongo na wenzake..
Mkuu Mwanaapolo, kweli kabisa, ila nilijitahidi sana kusoma shule hadi kufika darasa la saba!, na kwa taarifa yako, nilipasi, ila tuu sikuchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari, kwa sababu nafasi hazikutosha, hivyo niliishia la saba la UPE!.wewe ni kibaraka wa Chief Nanga "A man of the people" na inaonekana wewe ni la sita la zamani unajidanganya ni degree ya sasa Cambridge. Pasco
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.
Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.
Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.
Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.
Pasco.
pasco ni ccm, chama kwanza wananchi badae; pasco umenisikitisha sana;
Daha! hata kafulila katudanganya?
Mkuu Myahudi wa Gaza, asante.Pasco ni mpmbv siku zote toka ameingia humu!!
Yaani mi simpendi hata kidogo kwani amezidi upotoshaji mbwa huyu!!
Kwa sababu kulikuwa na mgogoro na wajanja walitaka wagawane
Pasco Unajitahidi Sana kujitoa akili, lakini unajianika kwa kuwa unatumia akili ya MTU mwingine ambayo haifit kwako. Akaunti ya Escrow ni ya dhamana sio ya Ubia, ni ya dhamana ikisubiri maelewana ya wabia ( TANESCO na Aipitielo...hivyo zilikuwa pale zikiwa si Mali ya yeyote hadi mwafaka upatikane. TANESCO ni shrlirika la umma na zile fedha bado zilikuwa za umma hadi mwafaka ufikiwe Kati ya wabia wawili.bila mwafaka eventually zingekuwa Mali ya umma....Mkuu Mchambuzi, with due respect, tafsiri rasmi ya fedha za umma ni "public monies!"
Suala la umiliki wa account escrow ni kitu kimoja, na fedha zilizomo humo ndani ni jambo jingine!.
Namna ya kujua kama ni fedha za umma au sio za umma ni the time hizo fedha zinapochange hands toka umma kuwa private money?!.
Account ya escrow ni account ya ubia kati ya Tanesco na IPTL, hivyo wakati wote wa uhifadhi wa fedha hizo ndani ya account hiyo ya escrow, zilikuwa joint finances, na ile siku Tanesco aliporidhia fedha zilipwe IPTL, then fedha zile zili change hands from public money to private money!. Nahisi CAG, TRA na PCCB hawakuangalia mkataba wa IPTL, kodi zote zilipaswa kulipwa na Tanesco na sio IPTL!, kama Tanesco, ilitumbukiza hadi kodi humo kwenye escrow, then ni tatizo la Tanesco!, na kwa vile Tanesco ilikuwa na bado inadaiwa deni kubwa na IPTL, then, hiyo kodi iliyo achwa na Tanesco kwenye escrow, itakuwa dected kwenye next payments!. Kodi inaweza kulipwa wakati wowote!.
Mtu mwingine aliyepaswa kulipa kodi ni Singa singa wa PAP kwenye transfer kutoka Mechmar kwenda Pieper Link na kutoka Pieper Link kwenda PAP na hizi hazihusiani kabisa na pesa za Escrow!.
Pasco
wakati mwingine kujifanya mjuaji sana ni tatizo...sijaona hoja uliyojenga zaidi ya kudakia dakia mambo...nachelea kusema wakati mwingine unapenda kutofautiana na watu bila hoja za nguvu...kuna walakini lukuki juu ya fedha hizi...wewe unakuja na hitimisha lako ya kuwa fedha si za umma....bila kuzingatia mwanzo wa tatizo mpaka sasa lilipofikia...Wanabodi,