Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #101
Mkuu Valentiny Paul, kunapotokea ubishani wowote kati ya kweli na uongo, mwisho wa siku, itakayo simama mpaka mwisho ni kweli tuu. Mbio zimeanza jana, leo ziko sakafuni, kesho ndio zinaelekea ukingoni!.Muongo ni nan
tumekozea ... si wewe ulituthibitishia hapa kuwa ripoti ya PAC haitasomwa?
[/LIST]
Mkuu Nguruvi 3, nimefarijika sana kwa wewe na Mkuu Mchambuzi kuutembelea uzi huu, kwa sababu nyinyi ni miongoni mwa ma GT wa ukweli humu jukwaani!.Naomba unikumbushe huo uzi!.
NB. Hayo majina mliyoyaoni ni majina ya kampuni binafsi ya JR, hamjaweza kuona account yake Holland amewalipa nani, hamjaweza kuona accont za PAP nani waliolipwa!.
- Japo sijabahatika kuuona mkataba wa IPTL ili nikichukulia mkataba wa Richmond kama sample, Tanesco ndio iko responsible kulipa all taxes!. AG ndie anaujua mkataba, hivyo alishauri hayo kutokana na mkataba!. Tax pekee ambayo sio jukumu la Tanesco ni ile ya transfer ambayo ilipaswa kulipwa na PAP kwa fedha za Singa Singa!.
- Soma Ripoti ya CAG uone amesema nini kuhusu fedha za escrow!, hakusema ni fedha za umma!, amesema sehemu inaweza kuwa ni fedha za umma!, imetokea kuwa Tanesco inadaiwa deni kubwa kuliko fedha zote zilizokuwemo ndani ya escrow, na aliyekubali fedha zilipwe ni Tanesco na kakiri anadaiwa na ameweka repayment schedule!.
- Uhuni huo ndicho kitu kilichonisikitisha, kunihuzunisha na kunifadhaisha!.
- Baadhi ya hizo pesa ni kweli ni kick back, baadhi ni genuine charity na nyingine ni sadaka na sadakalawe!.
- Mechmar ni matapeli!, Tanesco ilitapeliwa mchana kweupe!, ingekuwa na wanasheria wazalendo, kosa hili lilitosha kabisa kuvunja mkataba na kutaifisha kila kitu!.
- CAG na PCCB wameombwa na PAC na PM, Role ya BOT, Waziri na KM ilikuwa wakati zikiwa ndani ya escrow kabla hazichange hands!. zimechange hands zilipokubaliwa kutolewa!.
- Kutombunguzi Msamaria Mwema JR alivyotumia fedha zake!.
Tangu issue ya Chenge, nilisema humu PCCB ni nothing!, kila mtu mwenye akili timamu anajua mgao ule ni mgao wa asante!. Nilitegemea taarifa ya PAC pia itazungumzia chanzo cha IPTL na ni nani aliyetuletea hili jinamizi za IPTL!, escrow ni matokeo tuu, tunashangilia watu ku deal na matokeo tuu badala ya kung'oa mizizi!.
Pasco.
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.
Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.
Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.
Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.
Pasco.
Watu like Puscal still wapo na hawaja amini if serikali ya ccm ina fanya ushenzi,uchafu,upumbavu na uongo kwa wananchi
Wanabodi,
Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Pasco wa JF, kuwa ni "an enemy of the people!", Fedha za Escrow, Sio Fedha za Umma!, hizo Bilioni 320 zilizokuwa kwenye account ya Escrow, hazijaibiwa!, bali zimetumika kulipia umeme!.
Inawezekana PAP amenunua kampuni hewa, amefanya utapeli kuinunua IPTL toka kwa wamiliki halali, hayo hayatuhusu, bali malipo ya Tanesco kwenye account ya escrow ni kulipia capacity charges ya mitambo ya IPTL ambayo ni mitambo kweli sio mitambo hewa!, na pia Tanesco inalipia malipo ya huduma za umeme kweli unaokuwa genereted na mitambo ya IPTL, ni umeme kweli na sio umeme hewa!, na imeelezwa kuwa Tanesco bado inadaiwa!.
Ukiwa mkweli sana wa type ya ukweli huu, pia lazima uwe tayari to pay the price!.
Niko tayari to pay the price of expresing my opinion kuwa Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma!.
Pasco.
Mkuu Nkwesa Makambo, mpaka hapa uko right 100%, kwa feddha zilipokuwa ndani ya escrow ni "no mans land", "no ones money!". Si mali ya yeyote!, zikiisha kuwa sii mali ya yoyote maana yake sii mali ya IPTL wala sii mali ya serikali! mpaka muafaka upatikane!. Fedha hizo zilikuwa ni fedha za umma zikiwa Tanesco, baada ya kuwa deposited kwenye escrow, sio fedha za Tanesco tena!. Ripoti ya CAG ya ukaguzi wa kawaida wa hesabu za Tanesco, ulionyesha Tanesco wanaihesabu escrow account kama current asset yao, CAG akawaambia no!, kwa sababu hizo fedha wameisha zi expense!. Sasa hapa kwanza tukubaliane fedha za escrow sio fedha chafu!, hazikuibiwa kuingizwa escrow bali zimelipwa !. Jee unakijua ni nini kilichofanyika hadi hizo fedha to change hands from "no mans money to IPTL Money?!). Tanesco walikaa chini na IPTL, waka work out viwango vipya, japo bado vilikuwa juu na Tanesco kuendelea kuvilalamika, lakini walikubali pesa zitoke na bado wana deni kubwa kwa IPTL na kuandaa schedule ya namna ya kulipa. Hivyo fedha zote zilizokuwemo ndani ya escrow hazikutosha kumaliza deni inalodaiwa na mpaka leo, na mpka kesho Tanesco bado inadaiwa!. Hali hiyo ikapelekea fedha zote kwenye escrow kuwa ni mali ya IPTL!.Pasco Akaunti ya Escrow ni ya dhamana sio ya Ubia, ni ya dhamana ikisubiri maelewana ya wabia ( TANESCO na Aipitielo...hivyo zilikuwa pale zikiwa si Mali ya yeyote hadi mwafaka upatikane. TANESCO ni shrlirika la umma na zile fedha bado zilikuwa za umma hadi mwafaka ufikiwe Kati ya wabia wawili.bila mwafaka eventually zingekuwa Mali ya umma....
Fedha za shares transfer sio sehemu ya fedha za escrow!, hizi ni fedha zilizopaswa kulipwa na singa singa from his own sorces na sio kosa la jinai, ni kosa la madai, deni lililokwepa linakuwa established linalipwa!.PascoHilo la singa singa na PAP kutolipa kodi wakati wa mauziano ya shares linafanya mauziano hayo kuwa null and void ab initio, hiyo ingekuwa kengere ya kuwastua kwamba wana deal na tapeli.Maswala ya mahakama na maamuzi, maswala ya anomalies mbalimbali ni sehemu ya mkakati ovu ya viongozi wa taifa hili . Masikini management ya TANESCO ilikuwa inashitaki ikiamini inapambana na ipitielo kumbe mfumo wa serikali ni sehemu ya wanaoisaidia ipitielo...Too sad
Mkuu Tety, asante kwa hoja zako zamsingi sana!.Pasco ninapenda namna unavyoweka hoja zako.Kiuchokozi kujua watanzania tumaufahamu wa kiasi gani au ni ushabiki tu.
Nitaweka kwa point kama ifuayavyo:
1.VAT inalipwa pale malipo halisi yanapolipwa kwa mteja aliyekidhi matakwa ya kukatwa VAT.
2.VAT ingekatwa na kuwa submitted TRA baada ya malipo halali kulipwa IPTL na TANESCO.Malipo ya IPTL yangekuwa pungufu ya VAT.Na hii VAT ndiyo malipo halali ya serikali kama yalivyolalamikiwa na TRA.
3.Malipo ya pili yangekuwa kuwa ya TANESCO baada ya kukokotoa malipo waliyokuwa wanapaswa kuwalipa IPTL baada ,na kubaki na tofauti kati ya kilichokuwapa kwenye ESCROW ACC na kiasi kilichotakiwa kulipwa IPTL toka miaka hiyo.
4.Yawezekana kwenye mkataba wa kwanza kabisa unaonyesha mitambo ya IPTL ingetakiwa kumilikiwa na TANESCO baada ya miaka hiyo 20 na hivyo kufanya TANESCO kuwa mmilikiki halali wa IPTL ambayo nadhani ndivuo ilivyokuwa leo tujiulize ni kwa nini Mitambo hii imeuzwa miaka miwili tu wakati TANESCO ikijiandaa kuipokea mitambo hii.je ilikuwa hoja ua nani kuiuza mitambo hii miala miwili tu kabla ua TANESCO kuirithi, na kama hili ni la kwemi basi pesa yote iliyokuwa kwenye account ya ESCROW ilikuwa mali halali ya TANESCO.