Nimesikitishwa na speech ya Dr Mpango pale UN. Hivi umeme, maji na huduma za afya ni kitu cha kujisifia mbele ya wazungu?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Nilikuwa nasikiliza speech za viongozi mbalimbali duniani leo pale Umoja wa Mataifa

Lakini hii ya Dr Mpango sijaielewa kabisa

Mmepewa platform ya kuongea na kuzungumzia mambo ya kidunia. Ila watu wanaongelea sijui huduma za afya, mara wamepeleka umeme sijui maji. Hivi ni vitu vya kuongelea kweli kwenye such a stage especially kwa nchi ambayo ina 60 plus years za uhuru?

Hapa Mpango alikuwa anatoa speech au ananadi ilani ya CCM?

Nimesikitishwa mno!

Your browser is not able to display this video.
 
Mwambieni Mpango mjini Mwanza , lakeside city sehemu nyingi hazipati maji ya bomba.
Dar es Salaam sehemu nyingi sana hazina maji ya bomba.
Hayo maji anayosema huko UN ni yepi?
Nimeamini sasa kumbe ni kweli mfalme mmoja alipoambiwa wananchi wake hawana mikate, alijibu, WAAMBIENI WALE KEKI.
 
Tatizo linaanzia akili ikikaa ki-kirundi zaidi
 
Viongozi wa kija
Na kama vile wamerukwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…