Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacheni mkwala mbuzi wenu kiongozi wenu mkuu ni nyoka tunamfahamu vizuri kuliko nyie kama mumeamua kuunga juhudi poa tu kwani hata hamsemi Chadema wamekosea wapi mnakuja na matamko ya jumla jumla yaliyoandaliwa lumumba.CHADEMA wakileta nyodo basi ACT isimamishe watu kila jimbo na kwenye kiti cha uraisi halafu tuone kama CHADEMA itapata hata wabunge 20
ACT ina uhakika wa kupata viti Vya Ubunge Zanzibar na pia ikiamua kwenda peke yake huku bara itakikuza chama chao huku bara haswa kwenye mikoa ya kusini. Kwa vyovyote vile baada ya Uchaguzi huu ACT itakuwa imegain na Chadema ikileta nyodo haitopata urais na wala haitopata idadi ya wabunge iliyowapata mwaka 2015
Kinachomsukuma Zitto kutaka ushirikiano na CHADEMA ni kiu yake ya kuing'oa CCM na Magufuli tu baasi. Sasa moyo huu wa kujitolea wa Zitto kuna watu wanataka kumtake advantage
Mimi nasema, Kama CHADEMA watakuwa wanaleta tamaa kupita kiasi kwenye ushirikiano huu, basi Kila Chama kisimamishe wagombea wake kila sehemu then tuone nani atagain na nani atalose!
Hili suala kila siku linajibiwa humu lakini hao bado wanakomaa nalo.Zitto hakukataa kujiunga na ukawa aliandika barua yakuomba kujiunga ukawa lakini alikataliwa. Kwa mazingira hayo kila alilolifanya kuelekea uchaguzi na baada yauchaguzi alikua sahihi maana hakua sehem ya ukawa. Na hata sasa kama wasiposhirikiana kila chama kitakua huru kufanya yale kinayoyaona yanafaa hata kama nikushirikiana na ccm kudumisha chama kingine ilichenyewe kipate sababu ya kukua.
Mfano NCCR inayoyafanya tunaweza kuona haiko sahihi kwa sababu tunahitaji mageuzi, lkn kwa ukuaji wake wako sahihi kushirikiana na ccm ili kiendelee kuishi.
Kama pia CDM ilivyoshirikiana na ccm 2005 ili kuua nguvu ya CUF, nahata kuchukua magari kwa baadhi ya makada wa ccm ili wasiweke wagombea katika baadhi ya majimbo ili wapite bila kupingwa.
Watashine vipi Kilimanjaro wakti wasema washajifia?Chadema yana tamaa sana,
Na kwa tamaa zao hizo mwaka huu hawaoati kura!
Zitto ataendelea kushine hasa Zanzibar, huku Chadema ikiendelea kushine Kilimanjaro pekee.
ya chadema haikuhusu mumalizane kwanza mgogoro wa rushwa uliolikumba chama lenu ccm kwa sasaSalaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
ya chadema haikuhusu mumalizane kwanza mgogoro wa rushwa uliolikumba chama lenu ccm kwa sasaKila mwaka Chadema wanataka wao ndo waweke mgombea urais.ubinafsi umewajaa sana.
ya chadema haikuhusu mumalizane kwanza mgogoro wa rushwa uliolikumba chama lenu ccm kwa sasaBila kushirikiana na Membe hampati hata wabunge wanne.
Membe kwanza kisha Lissu baadae.
HAUJAJIFICHA VYA KUTOSHA MANENO YAKO UNAYOJARIBU KUYAWEKA HUMU YATAKUTESA WEWE NA FAMILIA YAKO WALA LISSU HATAKUSAIDIAMkuu, hivi unajua hakuna kitu kibaya kama kulishwa sumu na mtu na ukakubali kuimeza, kumbuka huyo magufuri yeye ana chuki binafsi na wapinzani hasa chadema, na ndio maana alitaka kumuua Lissu, sasa chuki yake hiyo ambayo ni yeye anayejua ilikoanzia yaani kiini chake amekuwa akiwalisha watu na kwa bahati mbaya watu wanakubali kuimeza na kuiweka kwenye mioyo yao, unamchukiaje mtu kwa sababu kulishwa maneno ya sumu na mbaya wake ilhali wewe huna ubaya na huyo mtu ?, ifike mahala watanzania tujitambue, kama musa ana chuki na bakari haipaswi Hamadi alishwe sumu ya chuki na aamue kuungana na musa kumchukia bakari, Mkuu una chuki ya hatari sana na Upinzani, ninakuombea kwa Mungu akuponye, kwa sababu Neno la Mungu linasema Tafuteni kwa bidii kuwa na AMANI na watu wote ili muweze kuurithi Ufalme wa Mungu.
Siku Njema
Zitto alishiriki uchaguzi huku chama chake anachosemekana kuanzisha akiwa ndani ya CDM kikiwa na mwaka mmoja, alibahatika kupata mbunge mmoja, nahalmashauri moja huku akiwa katikati ya dhoruba kali ya CDM&CCM kutomtaka arudi bungeni, na alifanikiwa pia kupata madiwan baadhi ya maeneo kama Mbeya&Dodoma&Tabora.
Sasa sasahivi chama kinakaribia miaka 6, huku akiongezewa nguvu na Maalim&Membe ambae Kwa haraka tu hata kwa faulo za ccm ACT pembe itanyakua majimbo yote, huku Zitto akiwa nauhakika wazaidi ya asilimia 85 yakurudi bungen hata kupitia faulo za ccm. Kwa mantiki hio ACT ilivyokuwa baada ya uchaguzi wa 2015 haitokua hivyo baada ya uchaguzi wa 2020 itakua imekua na kila mwenye macho anaona.
Kuja kwa Membe ACT na kama akisimama membe Kwanza itakua imewakuza kisiasa na kujijenga kitaasisi na ile propaganda iliyokua CUF ilikua inahamishiwa ACT itakua imekufa rasmi kuwa ACT nichama cha kidini, kwa msimamisha Membe ambae nimseminar.
Jambo lingine nikuwa sehem ambapo CUF ilikua na nguvu 2015 ndio ACT inanguvu 2020,kwa mfano mikoa ya kusini CUF ilikua na nguvu 2015 lkn kwa sasa nguvu hio imegeukia ACT, na nguvu hio imeongezeka maradufu baada ya Membe kuhamia ACT. Mikoa ya pwani pia ACT inanguvu kulingana na misimamo yao waliyonayo mikoa hio ya pwani kama Tanga. Magharibi pia naamini kwa sasa wamejijenga vizuri hasa Tabora&Kigoma&Rukwa&Katavi huko kote naamini ACT inanguvu kwa sasa kulingana na watu wengi wa mikoa hio kuwa na unasaba wa kimazingira na Zitto na wanaamini ACT kitakuwa ndio chama chao.
Mwisho naamini ACT bara haina Jambo lakupoteza kama isiposhirikiana na CDM kwa maana naamini watapata wabunge zaidi ya 3 bara . Na Pemba itapata wabunge pia, kwenye uraisi ACT haina Cha kupoteza kama ikimsimamisha Membe zaidi itaongeza Kura zaidi ya mara 10 ilizopata 2015 na ruzuku itaongezeka. Lakini pia CDM itapoteza katika uraisi kwa maana kuwa wafuasi kindakindaki waliokuwa CuF na waliobaki CUF hawako tayari kumchagua mgombea toka CDM kulingana na propaganda zilizojengwa juu ya CDM tofauti na 2015.
Tukutane baada ya uchaguzi huku kuangalia nani kapata nini na kakosa nini, Jambo lingine hatutaki kusikia kelele za wapinzani kuwa waligawana kura maana tunawaasa washirikiane lkn hawataki.
Wewe ni mccm huna hoja humpati mtu hapaUmeongea vizuri sana.
ACT ikisonga kivyakevyake hawa jamaa hawahawa wanaomnanga Zitto ndo watakuja baada ya uchaguzi kuilaumu ACT kuwa iligawa kura.
Sasa hivi ACT inawaomba washirikiane kuing'oa CCM wanaleta nyodo kwa sababu wana Lissu. Niwaambie Chadema kama Zitto akiingua front kumnadi Membe, basi hilo nyomi lao wanaloliona kwa Lissu leo hii nalo litaenda kuwasikiliza ACT wana sera gani nalo. pia litagawanyika, baadhi watamuunga mkono Magufuli, baadhi watamuunga mkono Membe na baadhi watamuunga mkono Lissu.
Tusije kulaumiana huko mbeleni!
Wewe ni mccm huna hoja humpati mtu hapa
MkuuSalaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Nilisema na nina sema tena, as long as kila mmoja na kila chama kina malengo na matakwa yao binafsi HAKUNA MAELEWANO HAPO. Nilisema Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe na Zitto wake wanaitaka hiyo nafasi kupona na kuzikana. Hawawezi hawa kupikwa chungu kimoja as long as wana malengo na nia tofauti. Zitto to him hii ni nafasi ya kupata RUZUKU vivyo hivyo kwa Mbowe na kwa Lissu hii ni nafasi yakuzidi kupata HANDOUTS NA RUZUKU kutoka kwa waliomtuma na kumpa matumaini ya kupata pesa Zaidi! Subiri uone mtifuano unaokuja.Salaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Na ninyi wapambe wa Chadema kama Chadema hamna data (takwimu) za kujivunia kwamba mtaweza kuchukua dola kivyenu. Mkijipa matumaini 'feki' kuwa mna nguvu ya kupigana kivyenu mtashindwa uchaguzi (uraisi na ubunge maeneo nyeti) asubuhi na mapema. Zaidi mnatembelea nyota ya Lissu kurudi Tz hadi sasa na mikusanyiko ya watu wakati wa kutafuta wadhamini.
Na Lissu ni msomi na anajua umuhimu wa ushirikiano na ameshauongea kwenye hotuba zake........ Sioni jinsi Chadema inaweza kushinda huu uchaguzi bila ushirikiano na ACT ili kupata kura za kutosha sehemu mikoa kama Kigoma, mikoa yote ya pwani na kusini mwa Tanzania, Zanzbar na miji mikubwa kama Dar na kadhalika......
Nia na maneno yako yanadhihirisha kuwa wewe ni mccmUliwahi kudhani au kufikiri kuwa katibu mkuu Dr Mashinji naye ni CCM?-Jifunze kuwa na akiba ya maneno!