Uchaguzi 2020 Nimesikitishwa na ubinafsi wa CHADEMA katika mkakati wa wapinzani kusimamisha mgombea mmoja

Inaeleweka ACT wazalendo watavuna wabunge wengi Zanzbar kupitia mgongo wa Maalim Seif, Hivyo huku Bara wangewaachia CHADEMA majimbo mengine wao wachuwe machahche kama lile la Zitto pale Kigoma na baadhi ya majimbo ya mkoa wa lindi anakotoka Membe na yale yalokuwa yakishikiliwa na wabunge wa CUF walokuwa upande wa Seif. lakini kitendo cha ACT wazalendo kusimamisha wagombea nchi nzima na hapohapo kutaka waachiane wakati wao mwaka 2015 waligomea ushirikiano ni kupenda zaida za chapchap kwa mtaji wa chee!
 
Hakuna kuungana kila mtu acheze mechi zake kivyake, akishinda sawa akishindwa pia sawa.

ACT wao wataungana na nani Zanzibar?!

Waachiwe Zanzibar na wao waachie Tanganyika. Hayo ndio makubaliano.

Chadema hawana impact Zanzibar hata wakisimamisha wagombea majimbo yote ya huko.
Lakini ACT inayo impact bara, inaweza kuchukua kura za kutosha tu ambazo Chadema inazihitaji sana kwenye ubunge na uraisi
 
Ujinga mtupu, chadema hawawezi kugeuka kua jiwe kuungana na kigeugeu msaliti zzk.
Kama unamtaka zzk kaungane nae wewe
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
 
Inaeleweka ACT wazalendo watavuna wabunge wengi Zanzbar kupitia mgongo wa Maalim Seif, Hivyo huku Bara wangewaachia CHADEMA majimbo mengine wao wachuwe machahche kama lile la Zitto pale Kigoma na baadhi ya majimbo ya mkoa wa lindi anakotoka Membe na yale yalokuwa yakishikiliwa na wabunge wa CUF walokuwa upande wa Seif. lakini kitendo cha ACT wazalendo kusimamisha wagombea nchi nzima na hapohapo kutaka waachiane wakati wao mwaka 2015 waligomea ushirikiano ni kupenda zaida za chapchap kwa mtaji wa chee!

Kwa hiyo unataka ACT wapate Majimbo 20 tu ya Zanzibar na machache ya bara halafu majimbo takriban 250+ wawaachie CHADEMA na ugombea uraisi juu?, Sidhani kama uongozi wa ACT utakuwa bwege kiasi hicho, kukubali hilo!
 
Mkuu unapolijadili suala hili lazima pia uitambue nguvu ya CCM na uwezo wake wa kutwaa majimbo mengi japo kwa mbinu na figisu, hivyo si kwamba majimbo ya bara watashinda CHADEMA na ACT yote! NO! Kumbuka ACT wazalendo katika uchaguzi uliopita walishinda jimbo moja tu, la Zitto kabwe, hivyo kama hata wakipata hayo 20 Zenj na mengi 8 au 10 huku Bara huoni kuwa huo utakuwa ni mwanzo mzuri kwao? Mtaka yote hukosa yote! ACT wazelendo bado haijafikia uwezo wa kusimika wagombea ubunge na udiwani nchi nzuma, tena kama sio ujio wa Maalim Seif na Benard Membe, hata hilo la tu Kigoma wangelipata kwa jasho kubwa kama si kulipoteza, hivyo lazima wawe na stage kuelekea mafanikio!
 
Chadema hawana impact Zanzibar hata wakisimamisha wagombea majimbo yote ya huko.
Lakini ACT inayo impact bara, inaweza kuchukua kura za kutosha tu ambazo Chadema inazihitaji sana kwenye ubunge na uraisi
Sasa waungane wapi, Zanzibar?! Kwa mantiki hiyo hiyo ACT Tanganyika hawana mvuto, hivyo wakubaliane, Zanzibar waachiwe ACT na Bara waachiwe Chadema, ila wakubaliane Chadema iwape support ACT Zanzibar na kinyume chake.
 
Mkuu unapolijadili suala hili lazima pia uitambue nguvu ya CCM na uwezo wake wa kutwaa majimbo mengi japo kwa mbinu na figisu, hivyo si kwamba majimbo ya bara watashinda CHADEMA na ACT yote! NO! Kumbuka ACT wazalendo katika uchaguzi uliopita walishinda jimbo moja tu, la Zitto kabwe, hivyo kama hata wakipata hayo 20 Zenj na mengi 8 au 10 huku Bara huoni kuwa huo utakuwa ni mwanzo mzuri kwao? Mtaka yote hukosa yote! ACT wazelendo bado haijafikia uwezo wa kusimika wagombea ubunge na udiwani nchi nzuma, tena kama sio ujio wa Maalim Seif na Benard Membe, hata hilo la tu Kigoma wangelipata kwa jasho kubwa kama si kulipoteza, hivyo lazima wawe na stage kuelekea mafanikio!

Membe na Maalim ni wanachama wa ACT kwa hiyo wakikisaidia chama ndo kazi ya mwanachama hiyo.

Hata Chadema pia ilimsajili Sumaye na Lowasa mwaka 2015 na akawasaidia kupata majimbo mengi!

Wananchi wanachagua mtu kuliko vyama, kwa hiyo ACT ikisimamisha watu wanaouzika majimboni basi watashinda!
 
Sasa waungane wapi, Zanzibar?! Kwa mantiki hiyo hiyo ACT Tanganyika hawana mvuto, hivyo wakubaliane, Zanzibar waachiwe ACT na Bara waachiwe Chadema, ila wakubaliane Chadema iwape support ACT Zanzibar na kinyume chake.

Mvuto uko kwa mgombea mwenyewe kuliko chama husika!
 
Mkuu.usiwaamini.sana ACt
ACT mawaamini kwa sababu ya nguvu yao kule Zanzibar .
Tuwaheshimu kwa sababu wazanzibari hawanaga unafiki sana.
Wapo wazi kuwa mwaka huu ni Maalim Seif.Bara ACT waachiwe Maeneo kama Kinondoni. Iko wazi Kinondoni Chadema wasikosee wakataka kumkomoa Kubenea.Watapoteza mana watashindwa kupata jimbo la Kinondoni kwa kugawana kura.
Hiyo itawasaidia Chadema kubaki na majimbo kama Kibamba Ubungo ,Kawe, Segerea, Ukonga,
ACT waachiwe majimbo ya Kinondoni ,Ilala ,Temeke
CCM wabaki na Kigamboni ya Andungulile.
Ila Wakimkata Dr.Andungulile basi Kigamboni litaenda Chadema.
CCM hawatakua na jimbo hata moja DSM mwaka huu ni wa ACT na Chadema nchi nzima.
CCM wameamua kuwa chama cha upinzani kwa matendo yao. Chama tawala huwa hakipaniki mana ni watu walioshiba na wenye mamlaka .
Cha ajabu CCM imegeuka kuwa chama cha hasira na vurugu kama watu wenye njaa.
Ni dalili ya kukosa shukrani kwa Mungu na kwa wapiga kura hivyo hawana haja ya kuchaguliwa tena ili watumikie ubaya wao kwanza mpaka watakapojua kuwa Mungu ndiye anayetoa ukuu na kumpa amtakaye.
 
Mkuu figganigga Kwani ACT mwaka 2015 haikushiriki uchaguzi? Waliomba kushirikiana na CHADEMA? Au TAFSIRI YA UBINAFSI ni kitendo cha kutoshirikiana na ACT?
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
 
Hii tabia ya kumsimanga Zitto, na kutaka kumtumia tu pale mnapodhani Chadema itanufaika kisha baada ya hapo mnaleta dharau na kejeli dhidi yake ni jambo baya sana

Hawa wasiomwamini Zitto na kumshushia kila aina ya shutuma kuwa sijui haaminiki hawasemi lolote juu ya Mashinji, Kafulila, Waitara, Dr Slaa, Mollel, Silinde, Lijualikali, Katambi waliounga mkono juhudi. Once upon a time mlikuwa mkiwaona watu hao kama makamanda wa ukweli, wapinzani wa ukweli kuliko Zitto lakini Je leo wako wapi?

Kuanzia mwaka 2017 hadi 2020 June mwaka buu kabla Lissu hajarudi ni Zitto ndiye aliyebeba jukumu la kubeba tochi ya upinzani dhidi ya CCM na Magufuli, na aliupa upinzani lifeline ya kutosha baada ya Magufuli kuweka kibano kikali kwa upinzani kwelikweli.

Leo Lissu karudi na anaonekana kupata umaarufu basi mnaleta nyodo kwa Zitto

Acheni mambo yenu nyinyi, Bila ACT na Membe kumuunga mkono Lissu, Mikoa ya kusini na Zanzibar Lissu hawezi kutoboa!. Hivi nyie hamlionk hili?.

Zitto anajaribu kusacrifice kupoteza opportunity ya kuijenga ACT nchi nzima kwenye msimu huu wa kampeni kwa ajili ya kumng'oa Magufuli na CCM halafu bado mnaongea shombo dhidi yake?

Mimi namshauri Zitto, kama Chadema wataweka ubinafsi mbele, basi ACT songeni kivyenu, hamkuanzisha chama ili muwe wabeba viatu wa vyama vingine
Tatizo la CHADEMA ni kujiona kama wao wanahatimiliki ya siasa za upinzani nchini. CDM wanavichukia vyama vingine vya upinzani kuliko hata CCM. Ubinafsi wao utawagharimu safari hii,baada ya uchaguzi wa mwaka huu ACT Wazalendo kinaenda kuwa chama kikuu cha upinzani nchini. Amini kwamba
 
Bila Sapoti ya ACT, Lissu hawezi kumshinda Magufuli, ni wale wabishi tu wasiojua siasa wanaodhani ACT haina impact kwenye kura za Tanzania bara.

Lindi, Mtwara, Kigoma, Tabora, Ruvuma, Pemba, Unguja na kiasi fulani Tanga ni ngome za ACT. Mikoa hiyo isipomsapoti Lissu basi ni vigumu sana kutoboa.

Ndiyo maana tunasema, CHADEMA kama iko serious na urais badala ya kutafuta kura nyingi tu kwa ajili ya ruzuku basi wana kazi ya kufanya serious talk na ACT ili iwepo win-win, maana vyote vinataka mtaji wa kisiasa eventually
 
Back
Top Bottom