Gigiko2020
Member
- Oct 20, 2019
- 67
- 132
Kwa hiyo toka 2017 mpaka 2020 siasa za Chadema zilihusu hiyo kesi mahakamani pale Kisutu. Huku wabunge na madiwani wenu wakinunuliwa kama njugu. Na pia kwenda kuomba maridhiano ya Kitaifa kwenye sherehe za Uhuru pale Mwanza.Kwahiyo kama alisimama kidedea ndiyo tiketi ya kutulazimisha wapinzani wengine tumuunge mkono? Wewe na vibaraka wenzako hamjui kilicho wafanya cdm wawe busy kiasi kumfanya Zitto aonekane yeye ndiye kinara wa kuutetea upinzani?
Ebu hesabu kuanzia mwaka 2915 hadi mwaka huu ni kesi ngapi viongozi wa cdm walikuwa nazo mahakamani? Tupe hesabu ya masaa waliyo tumia kuhudhulia mahakamani ukilinganisha na Zitto ndiyo uje na hiyo comparison yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nitapenda msiungane kabisa na kwa ubinafsi wenu muendelee kujiona mnaweza kushinda uchaguzi. Halafu hiyo November tupate matokeo ya jeuri yenu. Kwanza naona ACT haina cha kupoteza kivile.... Ina uhakika wa majimbo huko Zanzbar na Pemba na mengine machache hapa bara.