Uchaguzi 2020 Nimesikitishwa na ubinafsi wa CHADEMA katika mkakati wa wapinzani kusimamisha mgombea mmoja

Na ninyi wapambe wa Chadema kama Chadema hamna data (takwimu) za kujivunia kwamba mtaweza kuchukua dola kivyenu. Mkijipa matumaini 'feki' kuwa mna nguvu ya kupigana kivyenu mtashindwa uchaguzi (uraisi na ubunge maeneo nyeti) asubuhi na mapema. Zaidi mnatembelea nyota ya Lissu kurudi Tz hadi sasa na mikusanyiko ya watu wakati wa kutafuta wadhamini. Na Lissu ni msomi na anajua umuhimu wa ushirikiano na ameshauongea kwenye hotuba zake........ Sioni jinsi Chadema inaweza kushinda huu uchaguzi bila ushirikiano na ACT ili kupata kura za kutosha sehemu mikoa kama Kigoma, mikoa yote ya pwani na kusini mwa Tanzania, Zanzbar na miji mikubwa kama Dar na kadhalika......
Tulia ww
 
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Mkuu unatakiwa uwe makini sana , hatuna shaka na Maalim Seif , 2015 Zitto alikuwa nje ya UKAWA , Uliwahi kujiuliza kwanini ? Zitto Kabwe ndio mpinzani pekee aliyebaki ndani ya bunge siku Magufuli analihutubia bunge kwa mara ya kwanza baada ya wapinzani wote kuondoka kupinga Mamluki Dr Shein mtu aliyeshindwa uchaguzi na Maalim Seif kuingia bungeni , umewahi kujiuliza hili ?

Sisemi Zitto yuko vile vile , maana watu hubadilika , bali ni lazima ukafahamu kwamba haya mambo yanahitaji umakini mkubwa sana , kwa jinsi Zitto alivyokuwa si rahisi tena kwa Chadema kujiingiza kichwa kichwa , ni lazima tathmini kubwa ifanyike , mimi ni miongoni mwa wanaoamini katika ushirikiano , tena sana kabisa , lakini ni lazima kushirikiana kwa umakini sana
 
Na ninyi wapambe wa Chadema kama Chadema hamna data (takwimu) za kujivunia kwamba mtaweza kuchukua dola kivyenu. Mkijipa matumaini 'feki' kuwa mna nguvu ya kupigana kivyenu mtashindwa uchaguzi (uraisi na ubunge maeneo nyeti) asubuhi na mapema. Zaidi mnatembelea nyota ya Lissu kurudi Tz hadi sasa na mikusanyiko ya watu wakati wa kutafuta wadhamini. Na Lissu ni msomi na anajua umuhimu wa ushirikiano na ameshauongea kwenye hotuba zake........ Sioni jinsi Chadema inaweza kushinda huu uchaguzi bila ushirikiano na ACT ili kupata kura za kutosha sehemu mikoa kama Kigoma, mikoa yote ya pwani na kusini mwa Tanzania, Zanzbar na miji mikubwa kama Dar na kadhalika......
ACT Kigoma ina nguvu, hebu niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko uchaguzi mkuu uliopita?

Hata ukisema wana nguvu Pwani, niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko Pwani uchaguzi mkuu uliopita?

Inshort, umeandika mambo mengi ambayo hayapo kabisa.
 
Hivi mzee baba ACT ina wabunge wangapi na madiwani wangapi nchi nzima?
Hapo ndo makosa yalipo na huo ndo ubinafsi.
kama kigezo ni idadi ya wabunge kwa nini Chadema inajaribu kuungana na ACT ambao wana mbunge mmoja?
 
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Kipi kilichokusikitisha Ndugu?! kwani mpaka sasa hujaandika chochote kuhusu huo ubinafsi. Anza upya...acha kubwabwaja kaka
 
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
CCM mnangaika Sana these days... Ngojeni dozi iwaingie
 
Hapo ndo makosa yalipo na huo ndo ubinafsi.
kama kigezo ni idadi ya wabunge kwa nini Chadema inajaribu kuungana na ACT ambao wana mbunge mmoja?
Cdm haina haja ya kuungana na virus wa lumumba, ni heri tukose kabisa kuliko kushirikiana na watu kama kina Mwambe na lowasa amabao nia yao ni kuimaliza cdm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom