Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ameandika kiushabiki tupu, na kama utafuatilia utawagundua wapo ACT na Membe na ZittoACT Kigoma ina nguvu, hebu niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko uchaguzi mkuu uliopita?
Hata ukisema wana nguvu Pwani, niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko Pwani uchaguzi mkuu uliopita?
Inshort, umeandika mambo mengi ambayo hayapo kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app