Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Watz wote ni wabinafsiUpinzani wote tu kuanzia Act, Chauma, CDM ni wabinafsi na wako kuisaidia ccm itawale kiurahisi kwa kuhadaa umma. Wote ni Kama kenge hawasikii mpaka watoke damu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watz wote ni wabinafsiUpinzani wote tu kuanzia Act, Chauma, CDM ni wabinafsi na wako kuisaidia ccm itawale kiurahisi kwa kuhadaa umma. Wote ni Kama kenge hawasikii mpaka watoke damu
Nimeuliza swali ulitakiwa unijibu kuwa uliona akirudisha kadi au hukuona Sasa ukiuliza swali kwa swali si unadhihirisha ufinyu wako wa kufikiriWee una taarifa kuwa Mkiti wako Taifa amewahi kujiunga na Nccr mageuzi? Mwakyembe na nape je?? Au ulikuwa bado hujaja duniani??
Mbowe Ni mwanachama hai kabisa,wewe ilikuwa nayo sio mwanachama hai na tukisema hakuna mpinzani nje ya CCM kushika dola mnafikiri Ni maneno tuHata mimi bado ninayo card ya ccm maana zamani ulikuwa hupati kazi bila ya kuwa mwana chama wa ccm au uvccm
Sent using Jamii Forums mobile app
ACT Kigoma ina nguvu, hebu niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko uchaguzi mkuu uliopita?
Hata ukisema wana nguvu Pwani, niambie wana majimbo mangapi waliyoshinda huko Pwani uchaguzi mkuu uliopita?
Inshort, umeandika mambo mengi ambayo hayapo kabisa.
Sasa hapo umeandika nini?Mbowe Ni mwanachama hai kabisa,wewe ilikuwa nayo sio mwanachama hai na tukisema hakuna mpinzani nje ya CCM kushika dola mnafikiri Ni maneno tu
ACT kwakuwa mnajiona ni ma superior ingieni pekee yenu na cdm atasimama kivyake. Hatuwezi kuwa chini ya mwavuli wa ACT hata siku moja.Mimi nasimama na Mheshimiwa Zitto, Zitto amejitahidi sana kutafuta maridhiano na umoja wa upinzani.
Kama Chadema wataleta tamaa, na ubinafsi kiasi kwamba ikitaka ichukue lionshare ya majimbo ya Bara bila kujali kuwa ACT nacho ni chama kinachotaka kuendelea kujijenga basi ACT isimame kivyakevyake.
Zitto aingie kwenye mazungumzo kama chama chenye turufu, asiingie kwenye mazungumzo kama subservient au surbodinate wa Chadema.
Hoja siyo kuing'oa CCM tu, bali hoja ni kuingiza madarakani coalition itakayoweza kufanya reforms za maana. Sasa kama kuna chama kinataka kiwatumie wengine tu ili kufikia lengo lake basi hicho chama hakiwezi kutuletea watanzania mabadiriko tunayoyataka. Bora kuanza upya!
Hata jiwe alikuwa tayari kuwafukuza wabunge wote wa kusini. Hivyo usitutishe kabisa na hiyo ACT yako.Hii tabia ya kumsimanga Zitto, na kutaka kumtumia tu pale mnaodhani Chadema itanufaika kisha baada ya hapo mnaleta dharau na kejeli dhidi yake ni jambo baya sana
Hawa wasiomwamini Zitto na kumshushia kila aina ya shutuma kuwa sijui haaminiki hawasemi lolote juu ya Mashinji, Kafulila, Waitaea, Dr Slaa, Mollel, Silinde, Lijualikali, Katabi waliounga mkono juhudi. Once upon a tkme mlikuwa mkiwaona hao kama makamanda wa ukweli, wapinzani wa ukweli kuiko Zitto lakini Je leo wako wapi?
Kuanzia mwaka 2017 hadi 2020 June mwaka buu kabla Lissu hajarudi ni Zitto ndiye aliyebeba jukumu la kubeba tochi ya upinzani dhidi ya CCM na Magufuli
Leo Lissu karudi na anaonekana kupata umaarufu basi mnaleta nyodo kwa Zitto
Acheni mambo yenu nyinyi, Bila ACT na Membe kumuunga mkono Lissu, Mikoa ya kusini na Zanzibar Lissu hawezi kutoboa!. Hivi nyie hamlionk hili?
Heri ya hayo kuliko kumkaribisha nyoka unamuona kabisa, leo Mchange ndiyo hajifichi kabisa anavyo iponda cdm na ni swahiba yake Zitto. Wote wanaitumikia ccmBora kuchakazwa kuliko kuumizwa tena, mnamkumbuka Mama Tanzania?
Alibebwa lakini kawanyea mgongoni
ACT kwakuwa mnajiona ni ma superior ingieni pekee yenu na cdm atasimama kivyake. Hatuwezi kuwa chini ya mwavuli wa ACT hata siku moja.
Labda itokee miujiza ya kulazimishwa na hali halisi lkn siyo kwa kuamua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Missile of the Nation! Usipoteze muda kumjibu huyu kichwa maji. Mara nyingi ni vuvuzela asiye na hoja za msingi.....Hata jiwe alikuwa tayari kuwafukuza wabunge wote wa kusini. Hivyo usitutishe kabisa na hiyo ACT yako.
Naona unamsifia sana Membe kuchukua majimbo yote ya kusini utadhani yeye ni mpya kwenye siasa.
Kama vipi kila chama kushinde kwake basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye yupo na Zitto hivyo analazimisha cdm kuiunga mkono ACT wasimamishe rais na cdm tuwe mtaji wao.Missile of the Nation! Usipoteze muda kumjibu huyu kichwa maji. Mara nyingi ni vuvuzela asiye na hoja za msingi.....
Yeye yupo na Zitto hivyo analazimisha cdm kuiunga mkono ACT wasimamishe rais na cdm tuwe mtaji wao.
Zitto huyu huyu ambaye miaka yote alikuwa akituwacha wana cdm tukisusa vikao kwa manufaa ya watanzania wote lkn yeye anaona abakie ndani ya bunge ili tuonekane sisi cdm ndiyo wakorofi bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimaanisha wewe ndiye vuvuzela unaendekeza vitu vya hovyo. Hakuna mtu aliyesimama kidete upande wa upinzani mwaka 2017-2020 kama Zitto Kabwe! Hamna? Simuoni kabisa.Yeye yupo na Zitto hivyo analazimisha cdm kuiunga mkono ACT wasimamishe rais na cdm tuwe mtaji wao.
Zitto huyu huyu ambaye miaka yote alikuwa akituwacha wana cdm tukisusa vikao kwa manufaa ya watanzania wote lkn yeye anaona abakie ndani ya bunge ili tuonekane sisi cdm ndiyo wakorofi bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
He! Ina maana Jecha hata huku pia atakuja?Hata wakiungana hawatashinda, hata wakishinda hawatatangazwa
Nakumbuka maneno ya mgombea mwenza ndugu salum mwalimu aliposema:Salaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Chadema haijajaribu kuungana na ACT ila ACT ndio inajaribu kuungana na Chadema.Hapo ndo makosa yalipo na huo ndo ubinafsi.
kama kigezo ni idadi ya wabunge kwa nini Chadema inajaribu kuungana na ACT ambao wana mbunge mmoja?
Kwa hili hapana kabisa...napongeza maamuzi ya CHADEMA wamejifunza ya 2015 kwenye UKAWA..Salaam Wakuu,
Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.
Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?
ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.
Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.
Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.
Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.
TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Muungano wa mashaka.Hayo mawazo ya kuungana huwa yanaibuka wakati wa uchaguzi tu, kwanini huwa hayatolewi mapema ili watu wapate muda mzuri wa kuyajadili?