Uchaguzi 2020 Nimesikitishwa na ubinafsi wa CHADEMA katika mkakati wa wapinzani kusimamisha mgombea mmoja

Sipigi kura,maana naona hao wapinzani hawana nia yoyote ya dhati kuiondoa CCm madarakani.Huo muda bora nikatwange karanga.
 
Hata Chadema, huko kuna Usalama wa Taifa. Hivyo mna kazi ya ziada kujikwamua.
 
Wacheni mkwala mbuzi wenu kiongozi wenu mkuu ni nyoka tunamfahamu vizuri kuliko nyie kama mumeamua kuunga juhudi poa tu kwani hata hamsemi Chadema wamekosea wapi mnakuja na matamko ya jumla jumla yaliyoandaliwa lumumba.
 
Hili suala kila siku linajibiwa humu lakini hao bado wanakomaa nalo.

Kwao kumbukumbu anakaa nazo Mbowe.
 
Acha kupotosha! Inawezekana wewe ni mmoja kati ya waliotwangana dodoma jana!
Eleza hayo masharti mazito ni yapi!
Eleza hao ACT mpaka sasa wako tayari kusacrifice nini??
 
Chadema yana tamaa sana,

Na kwa tamaa zao hizo mwaka huu hawaoati kura!

Zitto ataendelea kushine hasa Zanzibar, huku Chadema ikiendelea kushine Kilimanjaro pekee.
Watashine vipi Kilimanjaro wakti wasema washajifia?
 
ya chadema haikuhusu mumalizane kwanza mgogoro wa rushwa uliolikumba chama lenu ccm kwa sasa
 
HAUJAJIFICHA VYA KUTOSHA MANENO YAKO UNAYOJARIBU KUYAWEKA HUMU YATAKUTESA WEWE NA FAMILIA YAKO WALA LISSU HATAKUSAIDIA
 

Umeongea vizuri sana.

ACT ikisonga kivyakevyake hawa jamaa hawahawa wanaomnanga Zitto ndo watakuja baada ya uchaguzi kuilaumu ACT kuwa iligawa kura.

Sasa hivi ACT inawaomba washirikiane kuing'oa CCM wanaleta nyodo kwa sababu wana Lissu. Niwaambie Chadema kama Zitto akiingua front kumnadi Membe, basi hilo nyomi lao wanaloliona kwa Lissu leo hii nalo litaenda kuwasikiliza ACT wana sera gani nalo. pia litagawanyika, baadhi watamuunga mkono Magufuli, baadhi watamuunga mkono Membe na baadhi watamuunga mkono Lissu.

Tusije kulaumiana huko mbeleni!
 
Hakuna kuungana kila mtu acheze mechi zake kivyake, akishinda sawa akishindwa pia sawa.

ACT wao wataungana na nani Zanzibar?!

Waachiwe Zanzibar na wao waachie Tanganyika. Hayo ndio makubaliano.
 
Wewe ni mccm huna hoja humpati mtu hapa
 
Mkuu
Hata mimi nimeliona hili! CHADEMA chonde chonde... mwaka huu hatupigii kura kwa kumuangalia mtu, bali tunaangalia upinzani. Wekeni kando maslahi binafsi!
Wengine hatuna chama ila tunafuatilia mambo yanavyokwenda kwa ukaribu sana. Muhimu kwetu sisi ni kuweka utawala uliobora kwa manufaa yetu sote! Ikitokea tukinusa ubinafsi wa chama au mgombea tunaharibu kura!
 
Nilisema na nina sema tena, as long as kila mmoja na kila chama kina malengo na matakwa yao binafsi HAKUNA MAELEWANO HAPO. Nilisema Lissu anautaka Urais kufa na kupona na Membe na Zitto wake wanaitaka hiyo nafasi kupona na kuzikana. Hawawezi hawa kupikwa chungu kimoja as long as wana malengo na nia tofauti. Zitto to him hii ni nafasi ya kupata RUZUKU vivyo hivyo kwa Mbowe na kwa Lissu hii ni nafasi yakuzidi kupata HANDOUTS NA RUZUKU kutoka kwa waliomtuma na kumpa matumaini ya kupata pesa Zaidi! Subiri uone mtifuano unaokuja.
 

Lakini ukiangalia sana utaona siku za karibuni baadhi ya watu wa CCM wameanza kuhamasisha CDM ACT waungane tena wanatumia nguvu kubwa ni vema kujiuliza huko kuungana wanashauri ni kwa ajiri ya kuiondoa CCM au ni kwa ajiri ya kupandikiza migogoro katika CDM ili kisiendelee kuwa tishio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…