Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Habarini Wana jamvi?
Niende moja kwa moja kwenye topic. Kiukweli kitendo Cha Pancho boy kimenisikitisha sana nikiwa Kama mmoja wa wadau wa nguvu kwenye jukwaa hili pendwa la macelebrity.
Ameonesha kutokuwa na weledi wa hali ya juu kwa kitendo cha kupakazia baadhi ya member kuwa team fulani ya mziki na wakati lengo letu no moja la kuujenga huu mziki Kama mashabiki wa mziki mzuri.
Naomba aje aombe radhi kwa kosa hili ambalo amelifanya Kama kweli yeye no mdau wa mziki mzuri.
Akhsanteni sana
~kigoma.