Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Ukichunguza unagundua I'd moja ikiwa online nyingine inapotea haiijawahi kuwa online zote anafkiri hapa watu hawajui ..
Oya Kigoma Independent ukibaki kuwa innocent dependent unapungukiwa nini?
Afu Pancho acha kuzidi kukandia ujinga, Mara ngapi nakwambia hizi ni id mbili tofauti...? Unaushahidi gani Kama hizi ni Id za mtu mmoja..?ko unataka wote tuwe online mda wote..? Kweli nimeamini team naniliu mnapeana moyo but hapa no Kiki no Busta.
 
Mkuu yani kauli za pancho boy ndo zinakutoa kwenye reli?
Ngoja nikupe formular moja, JIFUNZE KUBADILIKA KWA KADILI MTU ANAVYOKUIJIA. Akija na hoja mnajadili vizuri, akileta kauli za kichoko unaruka nae zaidi ya alivyokuja, simple tu 😂.
Mac Alpho fresh ila bahati mbaya sijazoea kutukana hata sikumbuki Mara yangu mwisho kutukana nilitukana nikiwa na umri gani
 
Habarini Wana jamvi?

Niende moja kwa moja kwenye topic. Kiukweli kitendo Cha Pancho boy kimenisikitisha sana nikiwa Kama mmoja wa wadau wa nguvu kwenye jukwaa hili pendwa la macelebrity.

Ameonesha kutokuwa na weledi wa hali ya juu kwa kitendo cha kupakazia baadhi ya member kuwa team fulani ya mziki na wakati lengo letu no moja la kuujenga huu mziki Kama mashabiki wa mziki mzuri.

Naomba aje aombe radhi kwa kosa hili ambalo amelifanya Kama kweli yeye no mdau wa mziki mzuri.

Akhsanteni sana

~kigoma.
ndio nani huyo pancho boy
 
Back
Top Bottom