Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Nawewe ukakaa na kufikiri ukaamua ulete Uzi kuhusu Huyo mvulana..!! Kazi kweli kweli
Labda Kama changamsha genge
 
OK kipindi unanitukana kisa nikisema ukweli
Tena mbele ya kadamnasi na sio Mimi
Peke yangu ..
Uliniomba msamaha bro
Hahahahaj
Tuache haya maujinga
Daaaaaah nilikutukana au nilisema ukweli, ok by the way mbona sikukufungulia Uzi Kama wewe ambavyo umetuanika hadharani...?
 
Nawewe ukakaa na kufikiri ukaamua ulete Uzi kuhusu Huyo mvulana..!! Kazi kweli kweli
Labda Kama changamsha genge
Sio changamsha genge hii ni serious issue, tena aombe msamaa haraka[emoji31][emoji31][emoji31]
 
Bro tuachane na hizi ishu tusichukulie serious sanaaaa
Hahahahah
Sema mmenipachika majina mengi nimewakosea nini
Mnafki,mvulana,uteam.
Nisameheni basis
Khokhokho
Ok nimekusamehe na team nzima ya chama la Wana kwa niaba tumekusamehe ila usirudie tena.
 
Back
Top Bottom