Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Team Fulani eti kisa tu nimegusa maslahi ya watu niombe msamaha..
Vituko vingine vinasogeza siku kama hivii
Kwa sasa mmeniita mvulana, mnafki ,uteam ambao sasa sijui nacheza namba ngapi..

Kuna watu wazima kabisa kumbe nao niliwagusa...
Hahahh
Ndukiiii
 
Sawa yote tisa, ila kumi umeshajirekebisha/ujirekebishe
 
Habarini Wana jamvi?

Niende moja kwa moja kwenye topic. Kiukweli kitendo Cha Pancho boy kimenisikitisha sana nikiwa Kama mmoja wa wadau wa nguvu kwenye jukwaa hili pendwa la macelebrity.

Ameonesha kutokuwa na weledi wa hali ya juu kwa kitendo cha kupakazia baadhi ya member kuwa team fulani ya mziki na wakati lengo letu no moja la kuujenga huu mziki Kama mashabiki wa mziki mzuri.

Naomba aje aombe radhi kwa kosa hili ambalo amelifanya Kama kweli yeye no mdau wa mziki mzuri.

Akhsanteni sana

~kigoma.
Innocent independent unazingua sana utafikiri hitoi duara
 
Back
Top Bottom