Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
Habarini Wana jamvi?

Niende moja kwa moja kwenye topic. Kiukweli kitendo Cha Pancho boy kimenisikitisha sana nikiwa Kama mmoja wa wadau wa nguvu kwenye jukwaa hili pendwa la macelebrity.

Ameonesha kutokuwa na weledi wa hali ya juu kwa kitendo cha kupakazia baadhi ya member kuwa team fulani ya mziki na wakati lengo letu no moja la kuujenga huu mziki Kama mashabiki wa mziki mzuri.

Naomba aje aombe radhi kwa kosa hili ambalo amelifanya Kama kweli yeye no mdau wa mziki mzuri.

Akhsanteni sana

~kigoma.
 
Kisu kimegonga mfupa
Sema sasa mbona hukuwahi kuniomba radhi..
Mtaniuwa nyie team πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kisu kimegonga mfupa
Sema sasa mbona hukuwahi kuniomba radhi..
Mtaniuwa nyie team πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Wewe ndo uniombe radhi pamoja na wadau wote ambao umetupaka matope sawa, maana umetuvunjia heshima mbele ya kadamnasi ya Wana Jf.
 
Acha niondoke sasa maana hizi team zenu zimeniundia kamati na kashfa kedekede..
Kisa tu nimewapa za USO..

Ndukiiiii
 
Wewe ndo uniombe radhi pamoja na wadau wote ambao umetupaka matope sawa, maana umetuvunjia heshima mbele ya kadamnasi ya Wana Jf.
OK kipindi unanitukana kisa nikisema ukweli
Tena mbele ya kadamnasi na sio Mimi
Peke yangu ..
Uliniomba msamaha bro
Hahahahaj
Tuache haya maujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…