Nimesikitishwa sana na Pancho boy

Ukichunguza unagundua I'd moja ikiwa online nyingine inapotea haiijawahi kuwa online zote anafkiri hapa watu hawajui ..
Oya Kigoma Independent ukibaki kuwa innocent dependent unapungukiwa nini?
Afu Pancho acha kuzidi kukandia ujinga, Mara ngapi nakwambia hizi ni id mbili tofauti...? Unaushahidi gani Kama hizi ni Id za mtu mmoja..?ko unataka wote tuwe online mda wote..? Kweli nimeamini team naniliu mnapeana moyo but hapa no Kiki no Busta.
 
Mkuu yani kauli za pancho boy ndo zinakutoa kwenye reli?
Ngoja nikupe formular moja, JIFUNZE KUBADILIKA KWA KADILI MTU ANAVYOKUIJIA. Akija na hoja mnajadili vizuri, akileta kauli za kichoko unaruka nae zaidi ya alivyokuja, simple tu πŸ˜‚.
Mac Alpho fresh ila bahati mbaya sijazoea kutukana hata sikumbuki Mara yangu mwisho kutukana nilitukana nikiwa na umri gani
 
ndio nani huyo pancho boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…