Asante mkuu, unajua Kwa kutumia kifungu hicho 20(1) hawawezi kumtia mtu hatiani Kwa sababu kifungu hicho kinakuwa kimepoteza maana. Nashauri sheria zilizotungwa Kwa Kiingereza waziache hivyo hivyo bila kuzitafsiri wataharibu. Kuna Uwezekano wa kumtia mtu hatiani asiye na hatia.