Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 265
Mimi hata sioni athletes wa TZ kwa hio picha. Ni kama hawakuendaNchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh π
View attachment 1866147
Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa?
Angalau uganda
View attachment 1866149
Hii inajidhihirisha kua wazungu wameanza ku take over nchi za afrika. Kitendo cha huyo mzungu kushika bango la uganda na waganda wakimfuata nyuma. Its patheticNchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh [emoji17]
View attachment 1866147
Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa?
Angalau uganda
View attachment 1866149
kila siku Ni Maajabuππ€£π€£π€£π€£π€£Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh π
View attachment 1866147
Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa?
Angalau uganda
View attachment 1866149
hongereni Wakenya.
lazima waongozwe ama ulitaka wajitafutie njia mpaka Stadium,alaa kila Nchi mpaka za Wazungu ziliongozwaπHii inajidhihirisha kua wazungu wameanza ku take over nchi za afrika. Kitendo cha huyo mzungu kushika bango la uganda na waganda wakimfuata nyuma. Its pathetic
Sio kuchanganyikiwa ni kuogopakama huwa mnachanganyikiwa?
Kwani kuna mwaka ambao Tanzania imewahi kupeleka wachezaji wengi? Na hata mkiwapeleka huwa wanarudi nyumbani mikono mitupu so serikali yenu imeona hakuna haja ya kupoteza pesa bure kupeleka watu hovyo kushindana na wanariadha waliobobeaMwaka huu ni controversial. Nchi nyingi zimejitoa. Zingine zimeshiriki kwa uchache sana. Mwaka huu michezo hii haijafana sana kama miaka yote.
With due respeact, Use ze word zezetas.Kwani kuna mwaka ambao Tanzania imewahi kupeleka wachezaji wengi? Na hata mkiwapeleka huwa wanarudi nyumbani mikono mitupu so serikali yenu imeona hakuna haja ya kupoteza pesa bure kupeleka watu hovyo kushindana na wanariadha waliobobea
Nchi ambayo Ina amani, hakuna rushwa, hakuna njaa hua inafaa iwe ndo inatambulika kimchezo manake shida muhimu za kimaisha mshatatua na kilichobaki ni kukuza talanta mbalimbali za kispoti...., Hii ndo maana hautaona akina iraq,Somalia,..etc wakitambulika kimchezo manake vijana wao hawana mda wa kujifurahisha na spoti (Yani Wana deal na life and death situations si mambo ya kupewa medali)Unaacha kusikitishwa na ukabila unaowatafuna miaka na miaka.
Unaacha kusikitishwa na police brutality mnayofanyiwa miaka na miaka.
Unaacha kusikitishwa na corruption iliyokita mizizi.
Unaacha kusikitishwa na njaa inayowatafuna miaka na miaka.
Eti unasikitishwa na Tanzania kupeleka wanamichezo wachache [emoji23][emoji23][emoji23]