Nimesikitishwa sana! Nchi ya watu milioni 55 haiwezi kutuma wanaspoti 5?

Gamal Sankara

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2019
Posts
301
Reaction score
265
Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh 😔
5C12673C-03F3-414A-8E89-AA9FE4868FC2.jpeg

Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa?

Angalau uganda
F83FD7B7-643A-42C4-B095-C0B2CC078991.jpeg
 
Nchi yenye watu 55 million haiwezi hata kuwatuma wanaspoti 5? Duuh [emoji17]
View attachment 1866147
Na kisha mkitazama hiyo picha, yule anayebeba hiyo bendera si mtz. Na ndiyo maana mimi hujiuliza, Mbona wenzetu ni kama huwa mnachanganyikiwa?

Angalau uganda
View attachment 1866149
Hii inajidhihirisha kua wazungu wameanza ku take over nchi za afrika. Kitendo cha huyo mzungu kushika bango la uganda na waganda wakimfuata nyuma. Its pathetic
 
lazima waongozwe ama ulitaka wajitafutie njia mpaka Stadium,alaa kila Nchi mpaka za Wazungu ziliongozwa🙈
 
Mwaka huu ni controversial. Nchi nyingi zimejitoa. Zingine zimeshiriki kwa uchache sana. Mwaka huu michezo hii haijafana sana kama miaka yote.
 
Unaacha kusikitishwa na ukabila unaowatafuna miaka na miaka.

Unaacha kusikitishwa na police brutality mnayofanyiwa miaka na miaka.

Unaacha kusikitishwa na corruption iliyokita mizizi.

Unaacha kusikitishwa na njaa inayowatafuna miaka na miaka.

Eti unasikitishwa na Tanzania kupeleka wanamichezo wachache [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kuna mwaka ambao Tanzania imewahi kupeleka wachezaji wengi? Na hata mkiwapeleka huwa wanarudi nyumbani mikono mitupu so serikali yenu imeona hakuna haja ya kupoteza pesa bure kupeleka watu hovyo kushindana na wanariadha waliobobea
 
With due respeact, Use ze word zezetas.
E.g Lots of zezetas knows it all. I wonder what ze refer ze japanes? Ma puppet,nyangau,beberu etc
 
Unaacha kusikitishwa na ukabila unaowatafuna miaka na miaka.

Unaacha kusikitishwa na police brutality mnayofanyiwa miaka na miaka.

Unaacha kusikitishwa na corruption iliyokita mizizi.

Unaacha kusikitishwa na njaa inayowatafuna miaka na miaka.

Eti unasikitishwa na Tanzania kupeleka wanamichezo wachache [emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi ambayo Ina amani, hakuna rushwa, hakuna njaa hua inafaa iwe ndo inatambulika kimchezo manake shida muhimu za kimaisha mshatatua na kilichobaki ni kukuza talanta mbalimbali za kispoti...., Hii ndo maana hautaona akina iraq,Somalia,..etc wakitambulika kimchezo manake vijana wao hawana mda wa kujifurahisha na spoti (Yani Wana deal na life and death situations si mambo ya kupewa medali)

Sasa nyinyi hamna shida yoyote, Kisha mnashindwa kukuza wanaspoti, hamtambuliki kwa mchezo wowote duniani.. kazi kula viazi karanga na chatini.
Hii inadhihirisha Tz Kuna kasoro flani, Kuna hitilafu flani kwenye system yenu, haiwezekani watu 55million hakuna spoti hata moja ambayo mnaweza kutambulika nayo
 
Back
Top Bottom