Uchaguzi 2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.

Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.

Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Sasa tatizo liko wapi?
 
Kama unadhani mimi mpuuzi, basi mwulize jamaa huyu anayeongea hapa. Kuna watu wa aina yako ambao hufuata mkumbo kutoka kwa akina Lissu bila hata kutafuta ukweli wenyewe. Sasa elewa kuwa ukweli ndio huo; huwezi kuja na kura bandia zisikamatwe

Inaelekea hukupiga kura unasimuliwa tu.
 
Inaelekea hukupiga kura unasimuliwa tu.
Ni kweli mimi sikupiga kura kwa sababu niko nje ya nchi, ila wewe pia hukupiga kura kama hujui ballot paper ilikuwa inafananaje. Miaka yangu yote ya kupiga kura ballot paper huwa ina namba, na hata mwaka huu ilikuwa na namba pia.
 
Ina namba; wewe hukupiga kura kwa hiyo lahujui hili! Wasiokuwa na akili kama wewe huwa ni wepesi sana wa kutumuia lugha za matusi.. Nyingyi ndio mlimadanganya Lissu kuwa ana wafuasi mtandan likini kumbe hamkupiga kura.
Mtandani ndio kitu gania
 
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.

Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.

Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Msimamizi wa kakituo nae anajaribu kujustify uongo
 
Hiyo ni porojo tu; wala sikusumbue kutafuta ushahidi kwani haupo labda ule wa kupikwa tu kama zile "kura feki" ambazo hazikuwa na namba ya mpiga kura wakakimbilia kuzichoma kuficha ushahidi..
Kukosekana kwa namba ya mpiga kura ndo kunabatilisha ushahidi wa kura feki?
 
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.

Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.

Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Naamini akipatikana mtafiti ambaye atawapa questionnaire majibu ya utafiti yataogofya sana. Ni wachache waliosimamia haki. Kuna mmoja anasema lisu alipata 500 magufuri 2 lkn majumuisho magufuri 502, Lisu 0. Inauma sana
 
Story za kutunga hizi mimi nimesimamia uchaguzi na hakuna protocol za hvyo acha kupotosha watu
 
Yakikupata yatakunyonya damu..
Hongera.
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.

Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.

Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
 
Mwulize jamaa huyu anayeongea hapa; huwezi kuja na kura bandia zisikamatwe

Namba ilikuwa inaandikwa na mkuu wa kituo na sio kwamba zilikuwa printed na hizo namba.

huenda hata sio wilaya zote walipewa maagizo ya kuandika namba ya mpiga kura kwenye karatasi ya kupigia kura.
 
Siyo kweli; unapopewa ballot paper inanyofolewa kwenye kile kitabu ikiwa ina namba yake na kile kishina chake kianchobaki pia kina namba hiyo hiyo. Namba ya mpiga kura inaandikwa kwenye kishina kile. Kama kuna kura haramu italinganishwa na zile zilizo kwenye vishina.
Kisheria namba ya mpiga kura haitakiwi kuandikwa popote ili kumlinda watawala wasimtambur.

bahati mbaya baadhi ya sehemu waliambiwa waziandike kama njia ya kuwatisha wafanyakazi
 
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.

Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.

Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Ndio hivyo tena, Rufiji na SGR ndio zunakamilishwa, ndo basi tena..
 
Ina namba; wewe hukupiga kura kwa hiyo hujui hili! Wasiokuwa na akili kama wewe huwa ni wepesi sana wa kutumuia lugha za matusi.. Nyingyi ndio mlimadanganya Lissu kuwa ana wafuasi mtandani lakini kumbe hamkupiga kura.
Kichuguu acha ubishi. Mimi wakati amechukua kitambulisho changu akaanza kuandika namba ya kadi kwenye kishina cha karatasi nilikuwa naangalia kama ataandika pia kwenye karatasi ya kura. Hakufanya hivyo, alivyoandika kwenye kishina akachana ile karatasi ya kura na kuipiga muhuri. Nikaiangalia HAIKUWA na namba yoyote ya kadi yangu. Karatasi za kura zote 3 HAZIKUWA na namba ya kadi ya kupigia kura. Acha kupotosha watu
 
Huyo kaadithiwa tu
 
Kimsingi binafsi nilisimamia uchaguzi, jioni msimamizi ngazi ya kata akanipigia simu akauliza nipe matokeo, nikampa, akauliza mbona yako hivi nikamwambia wewe ulitakaje? Akasema mbona matokeo yako hivi nikamuuliza ulitaka ya namna gani, akasema kwani kwenye semina hukuwepo nikamwambia nilikuepo na nilielewa.

Kwa kweli yale mafundisho yaliyokuwa yanatolewa kwenye semina na mashinikizo ya wakurugenzi! Nilifika hatua nikakereka mno.

Baadae msimamizi akaniuliza na mawakala umewapa nakala ya haya matokeo, nikamwambia kila mmoja amepata, akaniambia jaza fomu za matokeo upya nikamwambia hapa nasubiri malipo tu ukiona hayafai endelea, kimsingi niliondoka tulipokuwa. Kiufupi haukuwa uchaguzi.
Hicho kituo hakina jina au ni kituo cha kufikirika?
 
Wakati upewa hayo mafuzo ulisahau kutueleza ili tujipange kulinda kura??
 
Hiyo ni porojo tu; wala sikusumbue kutafuta ushahidi kwani haupo labda ule wa kupikwa tu kama zile "kura feki" ambazo hazikuwa na namba ya mpiga kura wakakimbilia kuzichoma kuficha ushahidi..
Una matatizo sana mkuu, namba ya mpiga kura kwenye kura iliyopigwa?
 
Kweli, hata mimi naamini hivyo, kwenye uraisi Magu angeshinda , ila si kwa kura zote zile 84%, Kwa wabunge na madiwani kwa kweli wameibiwa
Historically Jiwe hajawahi kushinda uchaguzi wowote,
 
Hizi ni propaganda za level ya chini sana, tuliwaambia mapema kwamba mnaenda kupokea kipigo cha Mbwa mwizi na imekuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom