Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

lea mimba kijana acha kutafuta sababu za kukimbia majukumu
 
Mkuu inaniuma sana, roho yangu inaugulia uchungu nisije lea mimba haramu, wanawake tamaa zimetawala yaweza kuwa alikuw na mtu
Peleke ujinga kule [emoji117]

Sasa unawasingizia wanawake tamaa kwani wewe hukuwa na tamaa mpaka ukamgonga kavu?
 
Hawawezagi kulea wenyewe hao. Hiyo nitalea mwenyewe 90% ni maneno tu. Mtoto akizaliwa utaikumbuka hii statement.
Daah
Peleke ujinga kule [emoji117]

Sasa unawasingizia wanawake tamaa kwani wewe hukuwa na tamaa mpaka ukamgonga kavu?
Mkuu nishakubali matokeo,, japo anasema hana mimba alikuwa ananipima tu
 
lea mimba kijana acha kutafuta sababu za kukimbia majukumu
Sawa mkuu me ntailea lakini tena mbona haeleweki, mara anasema hana mimba au sababu ya kumbana vile akaona ageuze vile?
Me nilimwambia baadae kama kweli mimba anayo me ntailea asifanye maamzi magumu ya kutoa
 
Mtu mpaka anakwambia ukinywa coca cola shahawa zinashuka zenyewe huyo amekubuhu
 
Hiyo kinga ya Coca Cola ndio naisikia leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu nawe ukakubali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila wanaume huwa inatuuma kweli yaani ule uroda mara 1 tu au 2 halafu mimba hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
At least upige shoo hata mara 10 aisee
 
Alikuambia yuko kwenye siku za hatari na wewe ukafanya bila kinga, yet unakataa mimba. Unamchukuliaje mtoto wa watu? Kwa nn hukutumia kinga?
 
Ndugu kubambikiwa hua kunakuwaga na dalili....!!maanake mpaka mtu akubambikie anajipanga kwanza

Kwa mwanamke anayejua yupo kwenye siku zake ni mara chache saana kukubali sex bila kinga (labda km amepania)...

na kama amekuambia mambo ya coca maanake ni anatafuta starting point (yan anakuweka sawa siku akitaka kuangusha jumba ucwe na pa kutokea)

Pia ukiona mwanamke umemuambia kuwa kachelewa period lbd kwa ajili ya hali ya hewa akakazania kuwa ni mimba (kabla hajapima)..!!hiyo mimba ilikuwepo kabla hujapiga

Namaliza kwa kusema....!!inawezekana hata yeye hajui ni ya nani (maybe kulikuwa na wengine....so jaribu kuwaza katka mahusiano kabla ya mimba ushawah kufumania hata text ya mtu yenye utata...kama ni ndio then think twice kuhusu hiyo mimba)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…