Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Yan nami nltaka kmuambia hvyo hvyo...kama Moyo wake unasita...hiyo mimba sio yake...!!mimba huhusika pia kiroho...!!mtoto ana connection na wazazi wake...!!

Mwanamke anatafuta pa kutokea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake cku wakikataliwa na michepuko wanatafuta wa kumpakazia
 
Ntaendelea kumpeleleza ikishindikana basi,, lakini me hofu yangu labda kuna jamaa lilkuwa linamega, japo ameniaminisha kwa 100% kuwa mimba ni yangu.
So hii hakuwaza wakati unamla kavu. Ni vipi kama huko alipotoka hapakuwa na usalama kiafya yaani alibeba magonjwa?!

Ukikutana na binti mpya kama una malengo ya kufanya nae maisha ya ndoa then take your time kumjua vema. Date nae. Kuna mengi ya kuyajua kwa mwanamke before haujamfanya kuwa mkeo.

Sasa wewe umekaa nae siku chache tayari ushamchovya. Yanatokea majanga ndio akili inaanza kuwa makini.....

Dah madogo wa siku hizi lakini.
 
Hiyo mimba ni yako mzee alipata tarehe 24..natamani hata nikutumie pcha ya app ninayoitumia ku-calculate maana mm n mwanandoa na ndio naitumia kupanga uzazi. Hofu ondoa kabisa hiyo ni damu yako lea.
 
Kwahiyo angekwambia ukila mavi manii zinakosa nguvu ya kutungisha mimba ungekula?
Hahahahaha unafanya mchezo na kitobo nini??? Mtu akiwa anataka kuloweka hata aambiwe nini anaweza kujikuta Anafanya

Ila akili huwa zinaturudia baadae. Sasa hili la kwamba mpk saivi anaamini Coca cola baridi ilizuia mimba ndo la kushangaa kwamba akili haijarudi tu?
 
Atakuelewa basi??? Au 😀😀😀😀
 
Ndo nashangaa akili zake hazijamrudia
 
Hata mimi sijakubali mkuu,,maana nilipo mbana sana baadae alikuja kuniambia ananipima hanacmimba
 
Alikuambia yuko kwenye siku za hatari na wewe ukafanya bila kinga,yet unakataa mimba. Unamchukuliaje mtoto wa watu? Kwa nn hukutumia kinga?
Lakni mkuu tambua hawa mabinti niwajanja sana usipo tumia akili utafurahi mwenyewe
 
Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.
Tatizo limeanzia hapa.. Pili umekula peku so huna namna ya kukataa mimba.
 
Mkuu unazidi kunifungua macho ,,namimi nakubali kabisa kama ni mimba alikuwa nayo kabla maana kwa kule kumbana sana na kupitia mazungumzo yake kwa simu inaonesha kabisa huyu binti anaakili chafu so usipo kuwa makini inaingizwa cha kike bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…