Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Yan nami nltaka kmuambia hvyo hvyo...kama Moyo wake unasita...hiyo mimba sio yake...!!mimba huhusika pia kiroho...!!mtoto ana connection na wazazi wake...!!

Mwanamke anatafuta pa kutokea
True mkuu,,huyu binti nahisi ananidanganya tena sana,,roho yangu haikuwa na amani kabisa baada ya kumbana sana baada ya siku mbili mbele ananambia hana mimba eti alikuwa ananipima ,,duh nikabaki natahamaki tu vipi huyu binti?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake cku wakikataliwa na michepuko wanatafuta wa kumpakazia
Mkuu naamini kabisa kama kweli ni mimba hiyo alikuwa nayo ,ni kutokana na mazungira yote niliyomwona nayo
 
Mkuu nakuelewa sana ,,inabidi kuwa care sana kama usemavyo nikweli kabisa inabidi uchunguzi kwanza,,lakini kwa vile yashatokea sawa ninejifunza tokana na makosa
 
Hakili ishachekecha imetosha,,haijapata jibu maana ndo nimekuja jua sahz kumbe ni uongo mtupu
 
dah utajua hujui..leo ndo nasikia coca cola inazuia mimba...nakumbuka beki 3 aliyenifundisha mapenzi alikua akimaliza anajiosha na mpira wa maji kutoa manii..mambo mengi mda mchache
 
dah utajua hujui..leo ndo nasikia coca cola inazuia mimba...nakumbuka beki 3 aliyenifundisha mapenzi alikua akimaliza anajiosha na mpira wa maji kutoa manii..mambo mengi mda mchache
Duuuh!! Mkuu mambo ya wanawake ni kesi tupu!!!
 
sio sifa mzee...kitendo cha kuamini coca inazuia mimba...ni either we mtoto au ndo wale wanaamini malaya hana ukimwi kisa amekwambia anakaa na wazazi..lea mtoto
Mkuu nishafanya kosa nimejifunza nawala sitorudia kwa mtu mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…