Mimi binafsi sikupingi mkuu.
Kwasababu kumkwamua huyo jamaa ilikuwa ni lazma sasa na hiyo mahari hakuna ulazma wa sasa
Lakini hapo ulkuwa na uwezo wa kucheza win-win game ni vile tu umeshindwa kuishinda saikolojia ya mwanamke wako, na kuwa makini isije hata ukaishindwa ya huyo mwanamke wako ajae
At any time mwanamke wako ataitaji yeye aonekane ndie first choice kwako, nielewe kwanza hapo "aonekane" sio lazma iwe hivyo, yani usitengeneze mazingira yakuonekana yeye sio kapaumbele chako, ndio utakuta mwanamke wako anakuuliza "Mimi na mama yako unampenda sana nani" mjibu yeye na wakati universal truth ni kwamba Kwa men first love ni mama
So ungetafuta kisingizio kingine tofauti na Cha rafiki yako, Kwa sabab Kwa kufanya hivyo umeonesha waziwazi kwamba she's not the first choice kitu ambacho kimemuuma sana hasahasa Kwenye issue kubwa kama ya mahari.
Note: Mwanamke asiwe first choice Kwenye maisha yako lakini mfanye ajione hivo
Ni mawazo tu mkuuu nothing personal
Sent using
Jamii Forums mobile app