Nimesitisha kutoa mahari

Tea bila sugar.
 
Ulikosea kumwambia hiyo sababu. Ni amekuona hauko serious kabisa ungetafuta visingizio vingine tuu mbali kabisa na hiyo sababu.
 
Inachekesha😀😀🤣
 
yeah,ulichofanya ni muhimu lakini pia ulihitaji mda wa kumuweka sawa maana hiyo taarifa imekuja ghafla sidhani kama angekuelewa kirahisi,usikurupuke emu jaribu kuongea naye na umweleze matarajio yako na umweleze umuhimu wa huyo rafiki yako
siyo anakwambia tuvunje uchumba nawe unasema sawa hujamtendea haki
 
Nimejitahidi kufanya yote kwa wakati mmoja na kumuelekeza mambo mengi tu niliofanikiwa kwa sababu ya huyu rafiki yangu. Tatizo lilikuwa kwamba alitaka hilo jambo lifanyike before xmas. Lakini kwanini tufanye haraka hivi na wakati kuna mtu wa muhimu kwetu ana changamoto? Ok, tufanye tarehe nyingine ndani ya mwezi huu. Bado mambo hayakueleweka!
 
Watu bado mnatoa mahari karne hii? Unanunua mwanamke?

Kama umekaa naye mda wote tayari ni mke huyo.

Watu wana pesa za kuchezea😁😁
Ni makubaliano tu mkuu. Unapiga hesabu ya idadi ya ng'ombe na mahitaji mengine kwenda kwenye pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…