Nimesoma kesi ya uhaini ya kina Anko Tom asubuhi hii, Katuga ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kumuona duniani!

Huu wa PW1 ndio uhaini WA Kwanza kufanyika hadharani
 
Kifungu cha 39(d) hakijawahi kutumika. Ndio kilikuwa kinafanyiwa test for the first time kwa Lissu. 🤣🤣🤣

..Na Katuga anasema kifungu kinaruhusu Lissu afungwe miaka sifuri.🤣
 
..Na Katuga anasema kifungu kinaruhusu Lissu afungwe miaka sifuri.🤣
... of course kama hakikuwahi kuwa tested lazima all possibilities ziwe included ili kuipa mahakama uwanja Mpana zaidi wa kuja na the best fit for future reference aka precedent!
 
... of course kama hakikuwahi kuwa tested lazima all possibilities ziwe included ili kuipa mahakama uwanja Mpana zaidi wa kuja na the best fit for future reference aka precedent!

..yaani mtu akutwe na hatia ya uhaini halafu ahukumiwe kifungo miaka sifuri, yaani aachiwe huru?
 
Kama Taifa tuseme hapana, majaji kazi kwenu kesi iko wazi mno hakuna uhaini.
 

Ukisoma hii kesi na jinsi hawa kina Tom walivyofanya utajua jinsi elimu na ufahamu wetu ulivyoshuka mkuu! Kuanzia quality ya maafisa wa jeshi (kumbuka walikua junior officers tu), usalama wa taifa, polisi, wanasheria na majaji

Justice Nassor Mnzavas RIP aliitendea haki mahakama kuu na ilionekana kuu kweli aisee! Ni tamu sana kufuatilia then linganisha na utetezi wa Lissu halafu angalia mapolisi wa kisasa kina kingai na depepee wao, hopeless kbs ndio maana kila kesi nchi inashindwa na tunapigwa mabilioni ya faini kule duniani kila tukipelekwa kwa pilato wao
 
Weka pdf au basi jina la kesi
 
NASSORO KATUGA ni ***** aliyetumika na Kingai na Abdul, wahuni wahuni
Kusema ukweli basi mimi nilitamani badala ya Katuga angekuwa yule ''wa tutamkamata Mange'' tungeona huo umahiri wake anaojinasibu nao wakati hajui hata corridor za mahakama zikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…