Nimesoma maoni ya Chadema kuhusu miswada mitatu; Je, huu uchambuzi umefanywa na wasomi wa Tanzania au wa Havard University?

Tatizo la nchi hii,tunaangalia nani katoa maoni,bila kupima uzito WA maoni
 
Katibu mkuu wa zamani wa CHADEMA akoshwa na jinsi BAVICHA vijana wa CHADEMA walivyotoa maoni yakionesha ukomavu wa fikra katika mambo mazito ya taifa la Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=dKkaf6eeKfsMakamanda wa BAVICHA Queens Taifa yaonesha ukomavu na ujasiri wakitoa maoni mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba
 
H
o uchambuzi uko wapi?

Naona porojo zako tu.
 
CDM ni mpango wa Mungu,Kayafa alijaribu mwisho yeye ndo akaenda,lakini wanafiki na makasuku kama voice from within watakuja kupinga huu ukweli.

Kuna mmoja kila post anaweka namba ya simu atakuja kuandika barua ndefu hapa muda sio mrefu.
🤣🤣🤣
 
👍👌👏🙏
 
Jambo moja la msingi:
Wanachadema ni watanzania.
 
Mwanaume kusifia sifia ujinga ni ushoga
 
CHADEMA ni Chama cha Mungu
Ninyi ndomlikuwa mnalalamika Magufuli alipokuwa akisifiwa kama Mungu Leo mnarudia na nyinyi kusema Chadema ni Chama Cha Mungu! Acheni upuuzi huu "kila neno Liwe la Siri au wazi litaletwa hukumuni" Mhubiri 12:14
 
Ninyi ndomlikuwa mnalalamika Magufuli alipokuwa akisifiwa kama Mungu Leo mnarudia na nyinyi kusema Chadema ni Chama Cha Mungu! Acheni upuuzi huu "kila neno Liwe la Siri au wazi litaletwa hukumuni" Mhubiri 12:14
Chama cha Mungu kwa maana ya maono , sasa Magufuli ni Mungu gani alimtuma kuteka na kuua watu ?
 
Chadema ni wabobezi kwenye mambo ya sheria na hii ni Kwa sababu ni Wapinzani lazima wawe hivyo Ili kujihami na maswaibu ya mamlaka.

Ndio maana kwenye masuala ya Uchumi na maendeleo ni weupe ,Sasa joulizeni mnataka maendeleo au wapiga soga Wazuri?
 
Huyu ni Mwanasheria wa Tanzania , anayejua kwamba ukishajiunga na Chama kingine moja kwa moja unakuwa umejivua uanachama wa chama cha awali , lakini anakuja humu kudanganya !
 
Sio kweli ,nakupinga kweupe, hoja ni moja tu chadema kama chama imeandaa watu na ina watu wenye akili timamu period
 
Ile taarifa ya TWAWEZA nina hakika kwa 100% ilikuwa sahihi na ilifanyika kitaalam. Matokeo ya utafiti ule wa TWAWEZA, mpaka leo yanaashiria uhalisia wa mambo. Utafiti wa TWAWEZA ulisema:

1. CHADEMA inaungwa mkono zaidi na watu wasomi, vijana na watu wenye uelewa mkubwa.

2. CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga (watu wasioenda shule au wenye elimu ndogo)

Kwa hiyo unachokiona ni uhalisia wenyewe.

Bahati mbaya hao wenye wajinga wengi ndiyo wanaotawala. Baada ya hapo utauliza kwa nini nchi yetu ni maskini, nchi yetu haina mipango bora ya maendeleo, nchi yetu haina misingi ya utawala bora wala demokrasia?

Fuatilia hata maoni kuhusu jambo lolote:

Linganisha: BAVICHA Vs UVCCM; BAWACHA Vs UWT. Nadhani bado unakumbuka maelekezo ya kiongozi wa UWT kwa akina mama wa CCM, eti ikifika saa 4 usiku kabla ya kumpa mumeo mwulize kama ataichagua CCM, akisema hapana mnyime, msubirie saa 7, akikataa msubirie saa 10!! Huyo ndiye kiongozi wa akina mama wa CCM. Anawaza ngono tu!! Jongozwe na mtu kama huyo halafu utarajie nchi iwe na maendeleo?

Hata humu kwenye jukwaa letu, fuatilia michango ya hao wanaojiita wafia CCM kama utaona kuna dalili yoyote ya weledi. Tazama michango ya Mwashambwa, Variables and the likes. Mpaka Rais Samia ameyachoka makelele yao yasio na content. Imebidi awaambia wajibu hoja kwa takwimu na siyo kelele kama wanavyofanya sasa hivi.
 
Na Mbowe ni mwana wa mungu
Hakuna asiye mwana wa Mungu. Hata wewe ni mwana wa Mungu. Hata jambazi ni mwana wa Mungu aliyeasi na kumkumbatia shetani. Lakini akitubu na kumrudia Mungu anapokelewa, kwa sababu Mungu ana upendo wa ajabu kwa wana wake japo wapo watukutu, waasi na hata wenye kumkana kwa kauli au matendo yao.

Tushukuru uwepo wa CHADEMA. Maana japo tuna CCM iliyojaa ushetani mwingi, uwepo wa CHADEMA unasaidia kuzuia mengi tunayoyajua na tusiyoyajua, wasiyafanye kwa kuihofia CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…