Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Lakini October tuka ✔️

Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana, lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa, na unafahamu kwa nini unatulaza njaa. Siri na hekima zote ziko kwa hekma zako. Amen.

#Kulikuwa na Mansa Musa, yupo wapi? Hata kaburi lake halijulikani lilipo!
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
Pole sana
 
Kawatikie tu baba!...
Kila mtu akale alikopeleka mboga..
 
Lakini October tuka [emoji3581]
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
Vyote vitapita ila omba vipitie na kwako.

Wote tutakufa mwenye nacho na asiyenacho ! hivyo Bora kipi?

Bora ufe ukiwa nacho.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Ukisoma yanayoandikwa kuyahusu watoto wa wengine utaumia tu ikiwa huna kitu kweli maishani mwako.

Huyo Abdul kaanza kushika pesa kabla Mama yake Samia hajawa makamu wa rais. Usiuone utajiri wake wa leo ukaweka uhusiano wa alicho nacho na kazi anayoifanya Mama yake.

Huyo Mange anaishi kwa kusambaza umbea mitandaoni, huwa analipwa na wanasiasa pamoja na wafanyabiashara wenye lengo la kuchafua wapinzani wao mbele ya jamii.
 
Mange ni kichaa ambaye hawezi pona huo ukichaa ndyo basi tena na wanaomfollow ni vichaa pia
 
Ukisoma yanayoandikwa kuyahusu watoto wa wengine utaumia tu ikiwa huna kitu kweli maishani mwako.

Huyo Abdul kaanza kushika pesa kabla Mama yake Samia hajawa makamu wa rais. Usiuone utajiri wake wa leo ukaweka uhusiano wa alicho nacho na kazi anayoifanya Mama yake.

Huyo Mange anaishi kwa kusambaza umbea mitandaoni, huwa analipwa na wanasiasa pamoja na wafanyabiashara wenye lengo la kuchafua wapinzani wao mbele ya jamii.
Tumeuza naye tayre sana hapo kariakoo,sikukuu st,ni kijana mkarimu sana pia Hana makubwa,labda yaote!
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Kulala njaa kwa mpambe wa wanaotufilisi ni sawa.
 
Back
Top Bottom