Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

Humo serekalini kugumu sana binafsi naandika hivi lakini sina ule wivu mkali,napajua jinsi palivyofyeka mzazi wangu!
Pole san!!
Maisha haya bhn, mi niligombea kdog!

Bhna kweny vyma hiv, hasa vya siasa ndo unakutana na wtu weny uchu wa pesa hatar
 
Ukisoma yanayoandikwa kuyahusu watoto wa wengine utaumia tu ikiwa huna kitu kweli maishani mwako.

Huyo Abdul kaanza kushika pesa kabla Mama yake Samia hajawa makamu wa rais. Usiuone utajiri wake wa leo ukaweka uhusiano wa alicho nacho na kazi anayoifanya Mama yake.

Huyo Mange anaishi kwa kusambaza umbea mitandaoni, huwa analipwa na wanasiasa pamoja na wafanyabiashara wenye lengo la kuchafua wapinzani wao mbele ya jamii.
Kuna wakati mange alikuwa na followers milioni 2 wanaolipa shilingi elfu Moja kwa mwezi...

Nguvu ya mange inaletwa na CCM kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari vya ndani.

Abdul alikuwa anafanya kazi/biashara gani huko zamani alipoanza kushika pesa?
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Endeleaga tu kuwapigia debe wanaokufanya uwe masikini kila siku huku wao wakiishi kifahari kwa kodi zako.
 
Kiukweli, hata wew ukiwa na Bi mkubwa wako kiongozi sehemu! Lazima umpe sapoti huwezi muacha hivi hivi..

Sema mengine ni Brain washing za mitandaoni kipindi hiki cha kampen
 
Zile sifa zote nzuri za nchi kuwa na vyombo vya usalama makini na jeshi bora inakwenda kubaki historia.

Mobutu alipoanza kutumia vyombo vya dola kulinda uongozi wake kimabavu, alipoanza kuhonga wakuu wa usalama jeshini na taifa ili kumlinda , ndipo DRC ilipoanguka.. toka ianguke haija recover hadi leo na hatutegemei itakuwa sawa kesho ama kesho kutwa...

DRC leo inatandikwa na kakikundi kanaitwa M23, yaani wanapigwa hadi wanakimbia.. jeshi halipo form, jeshi limekuwa weak..

Kusema mali na fahari ni mambo ya muda mfupi, elewa watoto wako na wataishi/wanaishi hii hii nchi, mambo yanapita lakini vizazi vinavyokuja wataishi katika dhiki kuu na mateso...
 
October 29 utaandamana mkuu?
Kipindi cha nyuma nilikuwa nakuona una akili, baadae nikajua uhalisia. Kwenye thread yako unaanza na tunatiki halafu unalalamikia magari ya kifahari yanayotokana na ufisadi wa mafisadi unaotaka kuwatikia October!?.., akili yako ipo sawa kweli??
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Huyu mange atawafanya watu wafe kwa msongo wa mawazo
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Kwa hii thread yako una kili udhaifu wako na kumwachia kazi nzito Mwenyezi Mungu wakati yeye alishamaliza kazi yake kwa kukupa akili na nguvu ila hujui jinsi ya kuzitumia. Kwa hili Mwenyezi Mungu anapewa lawama bure.
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Wewe ni bure tangu ululipofeli darasa la saba
 
Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Hujamsikia Diamond na Shoga Dimpoz pamoja na house boy wa Kajala Mario maria wanasema wao Wana magari ya kifahari kupitiliza.
 
Kuna wakati mange alikuwa na followers milioni 2 wanaolipa shilingi elfu Moja kwa mwezi...

Nguvu ya mange inaletwa na CCM kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari vya ndani.

Abdul alikuwa anafanya kazi/biashara gani huko zamani alipoanza kushika pesa?

Ni mfanya biashara wa kariakoo kitambo sana
 
Mie oktoba sitiki, kwasabb sijala pesa za mtu so sidaiwi na yeyote!.
Wanaotik ni machawa yaliyokula vya wenyewe, maana yake yanadaiwa yasipotik yanaweza hata kuf.rika!!.
 
Ukisoma yanayoandikwa kuyahusu watoto wa wengine utaumia tu ikiwa huna kitu kweli maishani mwako.

Huyo Abdul kaanza kushika pesa kabla Mama yake Samia hajawa makamu wa rais. Usiuone utajiri wake wa leo ukaweka uhusiano wa alicho nacho na kazi anayoifanya Mama yake.

Huyo Mange anaishi kwa kusambaza umbea mitandaoni, huwa analipwa na wanasiasa pamoja na wafanyabiashara wenye lengo la kuchafua wapinzani wao mbele ya jamii.
Vipi kuhusu watoto wa mkuu wa usalama .?
 
Back
Top Bottom