Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Pole sanaLakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
Halafu utasikia oktoba tunatiki
Kawatikie tu baba!...Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
Vyote vitapita ila omba vipitie na kwako.Lakini October tuka [emoji3581]
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
Kibaya unaweza dhania ni watu waliofanya kazi Kwa kuhenyeka na bidii kubwa,la hasha ni ridhki fill #minyati😃😃😃Pole sana
Ukisoma yanayoandikwa kuyahusu watoto wa wengine utaumia tu ikiwa huna kitu kweli maishani mwako.Lakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Mange ni kichaa ambaye hawezi pona huo ukichaa ndyo basi tena na wanaomfollow ni vichaa piaLakini October tuka ✔️
Mali na fahari ni mambo ya mda mfupi sana,na sote tutapita,hakuna kitakachobakia Allah tunaomba nusra zako,waache uroho na ulafi,uwaamshe inaumiza kweli sana lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa!,na unafahamu kwa nini unatulaza njaa,siri na hekima zote zi kwa hekma zako, Amen.
#Kulikuwa na mansa mussa,yupo wapi,hata kaburi lake alijulikani lilipo!
Eti wanamuita dada wa taifa, duh.Mange ni kichaa ambaye hawezi pona huo ukichaa ndyo basi tena na wanaomfollow ni vichaa pia
Tumeuza naye tayre sana hapo kariakoo,sikukuu st,ni kijana mkarimu sana pia Hana makubwa,labda yaote!Ukisoma yanayoandikwa kuyahusu watoto wa wengine utaumia tu ikiwa huna kitu kweli maishani mwako.
Huyo Abdul kaanza kushika pesa kabla Mama yake Samia hajawa makamu wa rais. Usiuone utajiri wake wa leo ukaweka uhusiano wa alicho nacho na kazi anayoifanya Mama yake.
Huyo Mange anaishi kwa kusambaza umbea mitandaoni, huwa analipwa na wanasiasa pamoja na wafanyabiashara wenye lengo la kuchafua wapinzani wao mbele ya jamii.
Rizki mafungu saba 😀😀😀Kusema kwamba fedha na mali ni vitu vya kupitia, ni maneno ya kujifariji hayo ndugu mtoa mada. Kwann habipitii kwako?
Ni kweli kabisa utajiri haupatikani kwa ghafla tu, huyo Mange anapoona hayo magari yakinunuliwa muda huu anadhani pesa ni ya wizi, anaanza kuwajaza ujinga vijana wa kibongo.Tumeuza naye tayre sana hapo kariakoo,sikukuu st,ni kijana mkarimu sana pia Hana makubwa,labda yaote!
😀😀😀Ujinga tu umewajaa ukitaka kuona hawana akili kuna mmoja huyo anawaongopea watu huku mtaani eti mange kaja kisirisiri bongo kaenda kwao then karud USA
Wazee wetu nao waliishia kugombea Uwenyekit wa nyumb kumKibaya unaweza dhania ni watu waliofanya kazi Kwa kuhenyeka na bidii kubwa,la hasha ni ridhki fill #minyati😃😃😃
Humo serekalini kugumu sana binafsi naandika hivi lakini sina ule wivu mkali,napajua jinsi palivyofyeka mzazi wangu!Wazee wetu nao waliishia kugombea Uwenyekit wa nyumb kum
Kulala njaa kwa mpambe wa wanaotufilisi ni sawa.Lakini October tuka ✔️