Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

Hata mimi nashika hela kabla ya Samia kuwa raisi. Lakini kuna hela na mapesa. TUYAACHE hayo. Karibu hospitali ya kizimkazi, hapa matibabu ni bure, chakula bure, vyote bure.
 
 
Acha wale mema ya nchi Pesa za wadanganyika
Inaelekea walikamia Sana Maisha hayo
Ugeni wa mambo

Ova
 
Hata mimi nashika hela kabla ya Samia kuwa raisi. Lakini kuna hela na mapesa. TUYAACHE hayo. Karibu hospitali ya kizimkazi, hapa matibabu ni bure, chakula bure, vyote bure.
Safi sana, Samia alishasema siku zilizopita kwamba hapendi kuona watu anaowaongoza wakiteseka kwa namna mbalimbali. Ni kwa sababu hana huo uwezo lakini ingekuwa amri yake hizi taabu zinazotusumbua zisingekuwepo.

Unaanza kwanza kushika hela halafu yanakuja mapesa. Bill Gates alianza biashara ya microsofts mwaka 1975 enzi zile alishika hela hivi sasa anashika mapesa.

Bakhresa miaka ya 70 alianza shughuli ndogo ya ufundi viatu kwao Pemba, alishika pesa hivi sasa Azam Group of Companies inamuingizia mapesa.

Kufanikiwa ni mchakato mrefu wenye kuhitaji uvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…