muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Kwenye pitapita zangu nimeona kwenye mfumo wa ess mkopo kwa mtumishi wa uma, kila taasisi ya mkopo imewekwa kwenye mfumo na riba zake, ila nikama vile sijaelewa kitu,
Nimeshangaa serikali inaapprove taasisi yenye riba 42%?
Serious BOT?
Fanikiwa microfinance 42%
Magere credit 42%
Platinum credit 42%
Tunakopesha Limited 40%
CRDB 17%
Na zingine zingi
Naombamnielewesh sijaelewa na kwama kweli hizo ndio riba
Naomba kuuliza hizi taasisi zenye riba 40%. Kabisa BOT imewa approve?
Kweli serikali inajari watumishi na wananchi wake, Hongera sana serikali kwa kuwezesha mikopo nafuu kwa watumishi